DuuuIlipie kwanza itoke hapo police!
Neno la busaraDah dunia inamambo tuwe na utamaduni wakuweka maneno hakiba mungu hibariki jf mungu wa bariki vijana wa tz
JF ina watu wenye mbwembwe sanaUlikuwa unamponda dalali mmoja humu anauza alteza kumbe wewe ndo choka mbaya kabisa....
Hehehehehee JF bana
Laki Ngapi mkuu?Gari ipo kawe police,imepata ajali kidogo engine 1g,
vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya.
Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuni
View attachment 1671813
Spark aka nicolas tenga mzee wa madstv hiyo gari ukitaka kuuza kweli uza 1MGari ipo kawe police,imepata ajali kidogo engine 1g,
vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya.
Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuni
View attachment 1671813
Nico unakumbuka hii hapa chiniGari ipo kawe police,imepata ajali kidogo engine 1g,
vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya.
Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuni
View attachment 1671813