Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 620
- 850
Sio kwel especially kwa gari yenye 1 hzMakambako njombe mpaka rungwe kata ya masukulu tulitumia masaa matatu tu aide chombo zinatembea balaa
Sio kwel especially kwa gari yenye 1 hzMakambako njombe mpaka rungwe kata ya masukulu tulitumia masaa matatu tu aide chombo zinatembea balaa
hili gari ni moja ya best offroading cars best ever. astralia wanatumia sana hiz mashine.Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
Sio nguvu tu roho ya paka hilo linatembea tu alimradi liwe na mafuta 😂😂😂 porini, jangwani yani linaenda tu halafu speed mshale!Huyo rafiki yako ni bumunda kweli!
Unauzaje usafiri kama huo?
Hizo gari haziwahi hata kushuka bei!
Alafu waasi wengi wanazipenda sana sababu ya nguvu.
Injini yake ni 4.0L
Gari yenye 1Hz inatembea with full speed ya 165-170KM/Hr sasa ni speed ndogo hio mkuu?Sio kwel especially kwa gari yenye 1 hz
Kwahio Australia kule watu hawaishi?Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
kibongo bongo gari yenye speed kubwa ipi au landcruiser v8Gari yenye 1Hz inatembea with full speed ya 165-170KM/Hr sasa ni speed ndogo hio mkuu?
Gari za urithi hizi, unaendesha unaliacha homeboy wako nae anaendeleza gurudumu analiendesha tu lipo moja la Mshua serikali walilinunua 1990 jipya akaja akalinunua 2000 toka serikalini kwenye minada yao!Hii gari mjapani alicheza kivyake.. Mwanzo aliyumba alipoinyima lock-diff ila alipokuja kuipa lock-diff ndo ulikua mwisho wa kusema Landrover ndo gari ya tope na haikwami. kwa sasa kila chaka watu wanapiga chini TDi wanahamia kwny L/C kwa sababu ya upatikanaji wa spare na hata bei za spare zake sio mkasi tofauti na hizi LR. Kuna B number ya mwanzo kabisa ila ikiwaka ukiskia saut n kama macho panzi DQZ izi gari zingatia tu service utaendesha adi ufe hujawai shusha gear box wala fungua engine.
Australia ni wale wale tu mkuu...lilikuwa bara la wahalifu(gereza) la Waingereza.Kwahio Australia kule watu hawaishi?
Yeah V8 single turbo engine ikiwa kwenye body ya hio 70 series inapiga 200km/hr with ease!kibongo bongo gari yenye speed kubwa ipi au landcruiser v8
Dah kwakuwa sijafika wacha nisibishaneAustralia ni wale wale tu mkuu...lilikuwa bara la wahalifu(gereza) la Waingereza.
Wana maeneo mengi sana ambayo kuyafikia ni changamoto, inabidi watumia haya magaripori.
tusubiri Lamborghini zikija bongoYeah V8 single turbo engine ikiwa kwenye body ya hio 70 series inapiga 200km/hr with ease!
V8 twin turbo engine ikiwa kwenye 200 series inapiga 260km/hr! So far yale ma Vx V8 ndio yana speed kubwa katika gari za Toyota zote zinazokuja bongo! Gari chache ambazo zinatokea soko la marekani ndio zina speed ya 260 Km/hr!
Mkuu, hebu toa elimu kidogo kuhusu hiyo namba yako ya mwisho, yaani ENgine ni 4.0 L ndio nini?Huyo rafiki yako ni bumunda kweli!
Unauzaje usafiri kama huo?
Hizo gari haziwahi hata kushuka bei!
Alafu waasi wengi wanazipenda sana sababu ya nguvu.
Injini yake ni 4.0L
Brother nazifahamu vizuri sana Nina experience na performance ya engine aina tatu za land cruiser brother njombe ni kitambo maybe aliikuta barabara nyeupeGari yenye 1Hz inatembea with full speed ya 165-170KM/Hr sasa ni speed ndogo hio mkuu?
Brother hio engine ya land cruiser yenye 4.0l inaitwa 1Gr-fte ni v6 na inatumia petrol Kwa kweli inatembea vibaya mnoMkuu, hebu toa elimu kidogo kuhusu hiyo namba yako ya mwisho, yaani ENgine ni 4.0 L ndio nini?
1Hz iko vizuri sana kwa mbio sema milima ndio huwa inaiangusha! Walipoleta 1HD-FTE wakaja kumaliza mchezo 😂😂😂 maana gari hata vilimani haipoi!Brother nazifahamu vizuri sana Nina experience na performance ya engine aina tatu za land cruiser brother njombe ni kitambo maybe aliikuta barabara nyeupe
SAWA ila brother je unataka sema kuwa barabara ipi itakuruhusu ukimbie 160 non stop1Hz iko vizuri sana kwa mbio sema milima ndio huwa inaiangusha! Walipoleta 1HD-FTE wakaja kumaliza mchezo maana gari hata vilimani haipoi!
Hamna hio barabara bongo labda ile ya babati to singida but kwangu gari yeyote inayoenda past 150km/h kibongo bongo ni gari yenye speed!SAWA ila brother je unataka sema kuwa barabara ipi itakuruhusu ukimbie 160 non stop