Toyota IST namba D Mil 7.8

Toyota IST namba D Mil 7.8

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,309
Reaction score
2,998
Nahitaji Toyota IST namba D... Tafadhali tuwasiliane haraka Budget Mil 7.8 kama kichwa cha habari kinavyosema kama una hiyo gari katika hali nzuri naomba uni PM ili tuweze kuongea Biashara. UWE DAR ES SALAAM nipo nilipo.

UPDATE:
NIMESHAPATA GARI TAYARI NZURI KWA MIL 7.7 namba DLZ its like from Japan. well maintained and conditioned kwa ndugu yangu mwenye asili ya Kihindi.
 
Nahitaji Toyota IST namba D... Tafadhali tuwasiliane haraka Budget Mil 7.8 kama kichwa cha habari kinavyosema kama una hiyo gari katika hali nzuri naomba uni PM ili tuweze kuongea Biashara. UWE DAR ES SALAAM nipo nilipo.
jivute kidogo, vya bei poah mda mwingine ni aghali.
 
KUNA TATIZO KUBWA la watoto wasio na elimu JF hili tatizo nmeliona sana. i wish wangekuwa wanapima uelewa wa mtu, umri na akili kabla ya kuruhusu ajiunge JF.
Acha undezi wa kukurupuka kucoment bila kusoma.
Amekwambia ana TAFUTA na sio kuuza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom