Wadau naombeni raum au ist namba d nina milioni saba cash

The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
966
970
Wakuu naombeni mnibariki na IST au RAUM iwe namba D isiwe na kipengele chochote Nina budget ya Milioni saba (7m) Cash.

Tafadhari ndugu zangu madalali mnisamehe sana nahitaji gari kutoka kwa mmiliki tu sio kwa ubaya ila budget yangu hainiruhusu kuwapa mazoezi ndugu zangu madalali.

Napatikana Dsm
0621973591
 
Asanteni Wadau mnaonishauri inbox...Sasa washika dau madalali ruksa kunilengeshaa gari na naahidi atakayenipa gari kalii Ist nitakayolipia kwa Tajiri 7M, yeye nitampa Asante ya laki mbili taslimu....Kariibuni Washika dau....Ist au Raum...tafadhari iwe namba D iliyonyooka.
 
Kila la heri mkuu mimi ilinitoka M14.7 kupata IST isiyo na kipengele, Japan.
Hongeraa sana Boss,direct kutoka kwa mjep chief nguvu hiyo sina kwa sasa....Achaa nisubirie baraka za Wazalendo wa Kitanzania hope nitapata tu maana kuna wadau wana upgrade kila siku.
 
Hongeraa sana Boss,direct kutoka kwa mjep chief nguvu hiyo sina kwa sasa....Achaa nisubirie baraka za Wazalendo wa Kitanzania hope nitapata tu maana kuna wadau wana upgrade kila siku.
Utapata kikubwa usiwe na haraka, and utunze hela kidogo kwaajili ya marekebisho madogo madogo.
 
kununua gari kunahitaji uvumilivu na kusave pesa kwa muda mrefu upate gari nzuri...me hela sio yangu ila nakushauri uvumilie upate hata 12.5m
 
Nenda facebook tafuta page za kuagiza magari hiyo 7 utapata gari kali. Hapa JF utaletewa ujuaji na dhihaka. Japo facebook napo uhakikishe gari unakagua mwenyewe wala usiagize mtu. Jaribu page inaitwa MAGARI BEI POA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom