RRONDO hii kweli kichapo FC πππ upo sahihi kumiliki Golf GTI! Huu udhalilishaji wa mchana kweupe 4GR imegota 180KPH ila mwenye 260KPH anaendelea kuchanja mbuganitakuwa km Piriton, hivi vigari vidogo sifuatilii tena nyuma, tangu ile ya Arusha nimenyoosha
watoto wanafuta visahani lakini wanachapwa, sasa mbele ukikutana na jamaa kaharibikiwa na gari inajua tu ni mzinga
cc Mshana Jr RRONDO nimeamini Germany si mchezo VW vijana wetu hata mkanda hawataki wakati wapo 180km/h
Unakuta 3 lane Highway kama Autobahn na zote uelekeo mmoja ajali itatokeaje sasa.Kule kuna barabara si vichochoro kama vyetu
Asante kwa thread, umenirudisha nyuma aisee..π₯²π₯²Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi....!!!
lakini pamoja na Toyota nyingi kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.....!
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani ni finyu mno...! tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... RipView attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Biharamulo hadi unavyoingia chato ukitaka unafuta paleDuh, barabara chache sana huku za kumaliza kisahani!
Eeh Crown 180 ni kama maji kushuka kilima π€£π€£π€£ limetulia ndani kimya ukiwasha na mziki ndio kabisa hutajua.Crown za kijinga 180 ni kugusa, alafu wala hauoni hata kama inakimbia.. ila wa nje ndio wanakuwa wanakuona.. na ndio maana inafanya vibaya watu Extrovert
Kumbe ni jini mkata kamba.. mziki huwa nazima kabisa.. ili niwe na focus.. ila kwa hii thread nimeogopa.. bado sijatumbua raha nyingi.. ila tatizo.. unaweza kuwa unaenda hata 40 to 50.. linakuja boya moja huko na scani inakupiga hadi uvunguni.. bwana haya mambo Mungu tu atuepushe na atulinde.. unaweza ukawa source ya mzinga au wengine wakakubamiza.. ila crown ni konyo sanaEeh Crown 180 ni kama maji kushuka kilima π€£π€£π€£ limetulia ndani kimya ukiwasha na mziki ndio kabisa hutajua.
π₯π’π₯π’π₯π―Vijana wabishi na ujuaji mwingi. Wakiwa kwenye hayo mabati wanajiona wamemaliza. Acha waishe tu
Hahahaha we unaendeshaje 40 kwe nye 2.5L engine?Kumbe ni jini mkata kamba.. mziki huwa nazima kabisa.. ili niwe na focus.. ila kwa hii thread nimeogopa.. bado sijatumbua raha nyingi.. ila tatizo.. unaweza kuwa unaenda hata 40 to 50.. linakuja boya moja huko na scani inakupiga hadi uvunguni.. bwana haya mambo Mungu tu atuepushe na atulinde.. unaweza ukawa source ya mzinga au wengine wakakubamiza.. ila crown ni konyo sana
Hatari tupu, huwa najidai kuendesha gari kama wale wanaoendesha VIP.. ila kwa hii thred sirudii tena huu upuuziKuna uzi ulikuwa unawahamasisha wajaribu kumaliza sahani mjini mida ya usiku.
Mzee 2.5 L nimemuachia mtu ila huwa nagogengea gongea, sasa hivi najivuta nivute 4.6 .. ila kwa post hii naona kama nimeletwa huku nijifunze... nitajaribu kuwa natembea mwisho 80 .. ila huwa kuna ka mzuka sanaaa basi tu ππHahahaha we unaendeshaje 40 kwe nye 2.5L engine?
Hilo hutakiwi kushuka chini ya 80Kph. Sema ni gari nzuri kwa safari inatembea sana π
Sure, one day nilifuta Nzega to Tabora, pazuri. Ila gari linakinbia sana, sitakuja kurudia make maisha haya bwana.Biharamulo hadi unavyoingia chato ukitaka unafuta pale
πππ badala ya ku press brake.. unakanyaga zaidi mafuta .. huwa kuna wenge hapo.. au sijui ndio ziraeli anafanyaga yakeKweli bana ajali haina kinga, unaweza kuwa sahihi na unazingatia usalama ila mwenzio gari ikamshinda akakuletea nzima nzima usoni. Au lorry likayumba na kudondoka kati kati halafu hapo umeiva uko 150KPH hadi kufunga breki unajikuta ushajaa.
Uhai tulio nao tuuthamini, unaweza mtu usife ila ukabaki na ukilema wa mileleSure, one day nilifuta Nzega to Tabora, pazuri. Ila gari linakinbia sana, sitakuja kurudia make maisha haya bwana.
Unapamiwa na li loli.. unabiringita una ..... ni kumuomba tu Mungu uwapo barababrani, lakini pia na sie lazima tusimame kwa swhemu zetu kuhakikisha tunakuwa salamaWacha nichelewe ila Sitakaa nivuke 100 Km/h
Vivyo hivyo unajishtukia tayari roho na nafsi zimechomoka na kuuacha mwili ππLakini hebu tuwe kwakweli kuna vipindi barabarani huwa tunashikwa na mzuka na kujisahau kidogo.... Unajistukia tayari uko 170
Sure, na ukabaki mzigo kwa watoto ambao walikuwa bado wanahitaji msaada wako!Uhai tulio nao tuuthamini, unaweza mtu usife ila ukabaki na ukilema wa milele
BrevisHakuna gari kama hilo