Toyota Hiace Used inahitajik

Toyota Hiace Used inahitajik

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
604
Mmiliki wa kajishule ka kindergarten anahitaji kununua daladala hiace iliyotumika isiyozidi 5miln. kwa ajili ya kuwapeleka watoto hao shuleni na kuwarudisha mitaani kwao. Tafadhali msaidie upatikanaji wa haraka
 
Cheki Na huyu Jamaa,
0655 03 77 77 au
0754 08 77 77,
Anaitwa Ally
 
Mmiliki wa kajishule ka kindergarten anahitaji kununua daladala hiace iliyotumika isiyozidi 5miln. kwa ajili ya kuwapeleka watoto hao shuleni na kuwarudisha mitaani kwao. Tafadhali msaidie upatikanaji wa haraka

Huyo anatafuta mkweche kaka. toyota hiace Mil 5!!!!!! Ongeza mil 4 nikuelekeze pa kuipata fasta.
 
Asanteni nyote. Alishapata huko aliko.
 
Back
Top Bottom