Toyota harrier G240 my dream Gar

Toyota harrier G240 my dream Gar

Wengi tunakufa na ndoto zetu. Tunasubiria ndoto mauti hadi yanatukuta au, hadi hayo magari tunayoyataka model zake zinapitwa na wakati. Tunakuja kununua ni out of fashion. Ila si mbaya tuendelee kumuomba Mungu. Muomba mungu hachoki.
 
NAITAMANI SANA HIYO.....NGOJA NIONGEZE JUHUDI, NITAIPATA TU.
 
Mimi leo ndoto yangu ya kumiliki Airbus A220 - 300 imetimia.
Wakwanza Afrika. America ngoma droo.
 
Design ya hii gari imechoka aka imepitwa na wakati. imekaa ki-late 1990s. Binafsi haina mvuto
 
Toyota 4runner aka Toyota Hilux Surf. Nadra kuona demu anaendesha hii gari. Toyota Prado pia.
Hii gari hata bure siitaki inasura mbaya haina future yoyote.


Hii nahisi ilitumika kwenye vita ya Uganda na Tanzania. Full stop
Screenshot_2018-12-23-20-20-17.jpeg
 
Me ndoto yangu ni kumiliki private jet pamoja na ppl licence niruke na kutua popote nitakapo
 
Toyota 4runner aka Toyota Hilux Surf. Nadra kuona demu anaendesha hii gari. Toyota Prado pia.
4 runner au Surf za kuanzia 2004 na kuendelea zimekaa kikazi sana mchuma huo ndo unafaa kuendeshwa na mwanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom