Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Mimi ni Mwalimu lakini nipoHii thread ni kwa matajiri wa JF tuu sisi wengine tusome comment
Mimi ni Mwalimu lakini nipoHii thread ni kwa matajiri wa JF tuu sisi wengine tusome comment
Kwamba ww unatafuta mke na sio gariHapa ndipo hua najua kweli binadamu tunatofautiana dreams sana aisee,hahah.
Mkuu sijaelewa dhumuni lako hata likibeba abiria si-dhani kama litashuka thamani kama unavyo kusudiatayari huku wameigeuza pickupView attachment 975505View attachment 975506
Hapana kwamba nalilia elfu 30 yangu waliyonikata kwny mshahara.Kwamba ww unatafuta mke na sio gari
Hapana kwamba nalilia elfu 30 yangu waliyonikata kwny mshahara.









Mkuu mbona tunakumbushana majangaHahah Mpk liVX V8 2007 model nimeshaliona wameikata kua pick up aisee.tayari huku wameigeuza pickupView attachment 975505View attachment 975506
Hahah mkuu ndio maana nikasema kila mtu ana dreams zake wkt mwingine anawaza kuvuta ndinga wengine vyuma huku ni balaa hahah.Mkuu mbona tunakumbushana majanga
Aahahahaha. Lakini lazima uwe dream mkuuHahah mkuu ndio maana nikasema kila mtu ana dreams zake wkt mwingine anawaza kuvuta ndinga wengine vyuma huku ni balaa hahah.
Hahah huko kwny harrier nimetoka kitambo mkuu.Aahahahaha. Lakini lazima uwe dream mkuu
Wewe kama mmHiyo hunitokea kwa v8
Mkuu unawza nn sasaHahah huko kwny harrier nimetoka kitambo mkuu.
Nikiwa ndotoni lkn mkuu,hahah.
Barabarani boss.Upo wapi sasa HV?