Toyota harrier G240 my dream Gar

Toyota harrier G240 my dream Gar

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,423
Reaction score
8,653
Awali ya yote naomba maoni yenu juu ya Toyota harrier G240 hili gari nimekuwa nikilifatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii YouTube IG

Nimevutiwa nalo soon nahitaji kuingia shows room nikalibebe ila sitaki nikurupuke ambae anamiliki au kuliendesha naomba anipe changamoto zake

Ulaji wa mafuta maintenance nk.....

Karibuni....
royan_magari___Bro8AkDA7Ue___.jpeg
 
Gari zuri sana mkuu ukiwa waendesha unaenjoy kwa haya magari yetu 2nd hand. Ulaji wake wa mafta wa kawaida sana lina CC2400. service yake kama ya altezza tu mkuu. Ukiagiza ukawa makini utalipata kwa mls 22-23. Nililimiki 2015 kipindi hicho mpaka hapa lilini cost 27 mls na showroom walikuwa wanauza 32
 
Hiyo gari ni milion 27?
 
Gari nzuri ya kisasa ya kimjini, uta enjoy. Matunzo yako tu. Mafuta linatumia vzr kuliko hata brevis au crown.
 
Awali ya yote naomba maoni yenu juu ya Toyota harrier G240 hili gari nimekuwa nikilifatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii YouTube IG

Nimevutiwa nalo soon nahitaji kuingia shows room nikalibebe ila sitaki nikurupuke ambae anamiliki au kuliendesha naomba anipe changamoto zake

Ulaji wa mafuta maintenance nk.....

Karibuni....View attachment 975483
Uswahilini tunaita Harrier MKUND.U WA NYANI
 
Awali ya yote naomba maoni yenu juu ya Toyota harrier G240 hili gari nimekuwa nikilifatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii YouTube IG

Nimevutiwa nalo soon nahitaji kuingia shows room nikalibebe ila sitaki nikurupuke ambae anamiliki au kuliendesha naomba anipe changamoto zake

Ulaji wa mafuta maintenance nk.....

Karibuni....View attachment 975483
Ni nzuri wanaliita mgongo Wa chura...shida linakula sana mafuta
 
Gari zuri sana mkuu ukiwa waendesha unaenjoy kwa haya magari yetu 2nd hand. Ulaji wake wa mafta wa kawaida sana lina CC2400. service yake kama ya altezza tu mkuu. Ukiagiza ukawa makini utalipata kwa mls 22-23. Nililimiki 2015 kipindi hicho mpaka hapa lilini cost 27 mls na showroom walikuwa wanauza 32
Mkuu changamoto ya kumiliki gari nyeusi kwa hapa Dar upande wa joto ukoje??

Maana wengine hatupendi kuishi maisha ya kiyoyozi full time.
Tunapenda kupata hewa natural muda wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom