lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,205 Feb 22, 2014 #41 Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Harrier,ni kweli it is very luxurious,sidhani kama ni nzuri sana kwa trip za vijijini,lakini gari ni matunzo,zipo pia za injini za kawaida 2200cc hivyo unywaji wa mafuta ni kawaida sana,spare zipo.
Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Harrier,ni kweli it is very luxurious,sidhani kama ni nzuri sana kwa trip za vijijini,lakini gari ni matunzo,zipo pia za injini za kawaida 2200cc hivyo unywaji wa mafuta ni kawaida sana,spare zipo.
Zvi JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 627 Reaction score 388 Feb 22, 2014 #42 kaka go for rav4 old model au escudo, utazifurahia. Ila hiyo Harrier yako unayong'ang'ania kwa vijijini!, anywa my opinion
kaka go for rav4 old model au escudo, utazifurahia. Ila hiyo Harrier yako unayong'ang'ania kwa vijijini!, anywa my opinion