OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
sikiliza kaka,gari kuharibika vitu vikubwa ni nadra sana na lazima kuwe na uzembe mkubwa kama kuendesha bila maji/oil etc....vingine vidogo haviwezi kukushinda,kikubwa ni kuwa HARRIER haiwezi kuhimili misukosuko kama ESCUDO/RAV 4 kwa hio uendeshaji wako ndio utadetermine maisha ya hio gari....SPARE ZA HARRIER ZIPO BONGO KIBAO.
cc: OLESAIDIMU
Umemaliza kaka haswa kwa kuzingatia kuwa andiko lake la mwanzo kasema kuwa atatumia gari husika vijijini na hali za barabara zetu zinajulikana vema sana!!!!!!
Sasa kuwa na gari ambayo akipata safari za kijijini anakuwa roho mkononi kwa kweli sidhani kama ni sahihi sana, unless wazazi wake wanaishi Mbweni na yeye anaishi Tegeta so hana safari za upcountry na ana duka Kariakoo!!!!
Mmm,Sasa ndg.zangu wapi naweza pata gari ambayo ipo spaceous like Harrier na ambayo naweza enda nayo country side mara chache bila wasiwasi??Xtrail hapana maana magari ya Nissan spare Parts availability yake nu shida saana NASIKIA.NINA MIL.14.
@Tclevery
Olesaidimu
Mani
NOTE:
VIJIJINI NTAKUWA NAENDA MARA 4 KWA MWAKA TUU.
Mkuu inaonesha umeipenda Harrier ila kwa kweli ushauri ni huo hapo juuu
Mkuu hakuna mbadala of the same??
kwa maana ya Nafasi kubwa ,comfortability na with Mil.14 niwezekupata??
Kaka gari wana design kwa vipimo vyao sasa kupata mbadala wa Harrier na iwe kama Harrier ni ngumu so hapo lazima ukubali either ubora au Style!!!!
Mkuu hakuna mbadala of the same??
kwa maana ya Nafasi kubwa ,comfortability na with Mil.14 niwezekupata??
Nunua HARRIER mkuu, ni bonge la gari acha kusuasua..!!
Akamate Kruger
Aende gerezani k.koo wamwekee engine ya rav4 kwenye body la Harrier.
Mkuu Kruger iko vp??
i mean uimara,comfortability and the like.
Aende gerezani k.koo wamwekee engine ya rav4 kwenye body la Harrier.
Nunua HARRIER mkuu, ni bonge la gari acha kusuasua..!!
Duuunh haya kaka
Kuna mafundi pale Mwembechai wanatoa engine ya Freelander wanaweka jiko la rav4
Wadau ninayo heshima kubwa saana naomba kujua GENERALLY UZURI WA HAYO MAGARI MAWILI NA UBAYA WAKE,Yaani SPARES AVAILABILITY,UIMARA WA GARI,COMFORTABILITY,OIL CONSUPTION nk.
na yoote asilimia 65 nataka kuyatumia Vijijini.
Naomba saana tafadhali,Mmesaidia wengi sana,Waiting to hear from you.
Kwa safari za huko vijijini kama ulivyosema na uimara, chukua suzuki escudo. Lakini kama unataka gari linalokimbia spidi mpaka ugonge miti, pita na hiyo Harrier haraka.