Wadau ninayo heshima kubwa saana naomba kujua GENERALLY UZURI WA HAYO MAGARI MAWILI NA UBAYA WAKE,Yaani SPARES AVAILABILITY,UIMARA WA GARI,COMFORTABILITY,OIL CONSUPTION nk.
na yoote asilimia 65 nataka kuyatumia Vijijini.
Naomba saana tafadhali,Mmesaidia wengi sana,Waiting to hear from you.
Chukua Suzuki Escudo. Mafuta inakula vizuri na madhubuti spea zinapatikana nafuu kuliko Harrier. Harrier inakula sana mafuta na ikianza kuchoka ni ndoa ya kikristo kwa mwenza mgonjwa mgonjwa.
ungetoa specifications zaidi, kwangu mimi hayo ni magari tofauti sana kuyaliunganisha...harrier zenyewe zipo aina nyingi, kadhalika suzuki escudo sasa unalinganisha zipi hasa?
CC OLESAIDIMU
Uko sawa kabisa kaka ila kwa kuanzia tu labda nimuulize kama kawahi kuona Harrier Ikiwa ya serikali, DFP au hata shirika???!!!!
Kama ni mtu wa field kawahi kutumia harrier au kukutana nayo madongo kuinama???!!!!
Mkuu hivi kuna magari maalumu kwa serekali. Lakini ki ukweli harrier sijui watu wanazipendea nini.
MANI,Ttzobla Harrier n nnini Kaka??
pls let mr know this brother.
Harrier haidumu hupoteza sura mapema na fuel consumption kubwa na gari mayai nenda kwenye escudo haswa ukipata v6 2.0 utafurahi.
Mkuu OLESAIDIMU,Lengo langu ktk matumizi ya kawaida for how long naweza kaaa nalo?nikifanya route ndefu from Moshi to Mbeya,na je naweza liuzs pindi napohitaji kufanya hivyo??
NOTE:
TOYOTA HARRIER 2002/2000 NOT LEXUS Harriers.
cc Kaiser.
Siujui neno maalum umelitumiaje lakini pool zimejaa Toyota Land Cruisers, Nissan, Land Rovers defender, Ford Rangers na XLT,pia zipo Suzuki na Rav 4 mkuu MANI sijui wewe uzoefu wako ukoje katika hii observation!!!Mkuu hivi kuna magari maalumu kwa serekali. Lakini ki ukweli harrier sijui watu wanazipendea nini.
Wanalalamika spea ni 'issue'
Siujui neno maalum umelitumiaje lakini pool zimejaa Toyota Land Cruisers, Nissan, Land Rovers defender, Ford Rangers na XLT,pia zipo Suzuki na Rav 4 mkuu MANI sijui wewe uzoefu wako ukoje katika hii observation!!!
Hiyo selection yako ni sawa lakini pale ulipouliza umewahi ona harrier gvt au dfp ndio palinichekesha. Maana ya kukosekana huko ina I disqualify kwenye umadhubuti.
Ha ha haaa haya kaka si unajua ST na DFP wanakatiza almost njia zote sasa nilikuwa nampa sample ambayo haitamsumbua kupata validity!!!!
Cc TCleverly
TOYOTA HARRIER ni cheaper au niseme copy/clone ya LEXUS RX300[market kubwa ni EUROPE/USA].....kama ujuavyo LEXUS ni luxury brand ya TOYOTA so huwa ni very luxurious plus big engine[3000cc]....kwa wale wenzangu tukatengenezewa HARRIER[WITH 2200CC,2500ETC].
in short:HARRIER na ESCUDO ni gari tofauti kwa matumizi tofauti kama ulivyosema huwezi kuona DFP/STK HARRIER
Nashukuru kwa maelezo yenye uchambuzi wa kina hasa,Kabla ya Kufunga Mjadala naomba kufahamu yafuatayo:
Je kwakuwa inaonekana Harrier ni luxoury,ni kifaa kipi kinaweza haribika na kuwa expensive to such an extent ku afford KUKIPATA inachukuwa muda kwa sisi wenye kipato cha Tsh. 680,000 take home kwa mwezi??
Kukipata kwa maana ya kipo ila Ghali hadi kujichanga na Kukipata kwa maana hakipo hadi uagize NJE ya nchi.
wakati gari ikiwa imelala.
@Tclevery,
Olesaidimu
Mani.
waiting to hear from you pls