Toyota duet inauzwa 4m

Toyota duet inauzwa 4m

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
Toyota duet inauzwa 4m , ipo katika hali nzuri sana na automatic na imetembea km 140,000, mafuta inanusa 1lt inaenda km 20, cc 980. For serious buyer just call 0713 234224
 

Attachments

  • 1447847542410.jpg
    1447847542410.jpg
    28.4 KB · Views: 956
Duh!!,nzima kweli lkn??,isijeikawa kuuziwa mbuzi kwenye gunia mkuu???.
 
Nimependa hapo kwenye red uzima wa gari yako ni kuwa na no B.

Ndio mkuu na watu wengi wakitaka kununua Magari kwa watu cha kwanza huwa wanaangalia namba sababu mara nyingi namba huditermine ni muda gani gari imetumika tangia iingizwe nchini
 
Gari bado ipo bei imepungua 3.95m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom