Toyota Cresta exceed inahitajika

Toyota Cresta exceed inahitajika

chogobilo

Senior Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
113
Reaction score
78
Kichwa cha habari chahusika,kwa mwana jf mwenye Toyota Cresta Exceed iliyo kwenye hali nzuri namaanisha:
ina mileage zinazorishisha,kuanzia namba B,nyeupe/cream/silver ani pm tufanye biashara fasta,Iwe inapatikana Morogoro,Pwani au Dar

Fasta tufanye biashara

Nawasilisha
 
Ushauri wa bure. Cresta kupata km chache utapigwa changa la macho. Angalia hali ya gari. Mimi ninayo namba C km 235,000 ukiisikia na kuendesha huwezi kuamini. Kuna watu kila siku wananisumbua niwauzie. Nitauza gari zote ila sio hii. Huyu wazungu wanaita 'workhorse'
 
kupatana nimeangalia ndo maana nimekuja hapa
8b89726093b5f60f7e8509e7d59ba566.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom