Toyota corolla inauzwa bei karibu na bure!

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
tshs 2.3mil. Bei nusu bajaji. Maana siku hizi unahitaji kuwa na 4.5mil ili upate bajaji moja.
Ipo katika hali nzuri. Haijawai kupata ajari. Ipo Dar es salaam, Upanga. Ni toyota corolla AE 90 au maarufu kama limited. Kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au 0755312233.
 

Kwa nini usitoe kama donation? Mungu atakulipa.

BTW ajari nini?
 

We kitomai ni mzoefu sana katika biashara hizi...nashangaa huweki picha kitu ambacho kila siku members wanahitaji.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…