Toyota corolla inauzwa bei karibu na bure! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota corolla inauzwa bei karibu na bure!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Aug 20, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  tshs 2.3mil. Bei nusu bajaji. Maana siku hizi unahitaji kuwa na 4.5mil ili upate bajaji moja.
  Ipo katika hali nzuri. Haijawai kupata ajari. Ipo Dar es salaam, Upanga. Ni toyota corolla AE 90 au maarufu kama limited. Kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au 0755312233.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kwa nini usitoe kama donation? Mungu atakulipa.

  BTW ajari nini?
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  We kitomai ni mzoefu sana katika biashara hizi...nashangaa huweki picha kitu ambacho kila siku members wanahitaji.....!
   
 4. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kitomai picha please!!
   
Loading...