Toyota Cami forsale

Toyota Cami forsale

Gold_addict

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
25
Reaction score
21
Wana jamvi nauza Toyota Cami kwa Tsh 7M.Gari ni nzima na inatembea bila shida yoyote.
Sababu za kuiuza ni kuwa nimepata gari nyingine.
Kwa mnunuzi wa uhakika anipm
 
Mbona unauza mbuzi kwenye gunia
Weka picha wakija utawaeleza
 
Wana jamvi nauza Toyota Cami kwa Tsh 7M.Gari ni nzima na inatembea bila shida yoyote.
Sababu za kuiuza ni kuwa nimepata gari nyingine.
Kwa mnunuzi wa uhakika anipm

Date of Importation,
Year of Manufactured,
CC,
Odometer,
Location,
Body Color,
Pictures,
E.t.c
 
Back
Top Bottom