Toyota Brevis na heshima zake

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Kumbe kumiliki Brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta. Halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana, wanaogopa nini?

E08E81AD-39A5-4C63-8053-3A36E71619A9.jpeg

Je, kwanini wenye Brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper? Mnatuumiza wenye baby walkers in town!
 
Yaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.

Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.

Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
 
Yaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.

Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.
Umenichekesha mkuu wenye magari yana cc5000 wanatazama tu
 
Kununua Brevis ni undezi engine nzito gari nzito mambo yote ni Crown Athlete engine kubwa gari nyepesi
Hivyo unavyoita vyepesi ukifika speed 180km/hr kitapeperushwa kama kapelo inavyopeperushwa toka kichwani. Gari nzito ina maana yake, nayo ni 'STABILITY', hata uwe speed 240km/hr (kama ingekuwepo) mashine inanata na lami kama uko 50km/hr, very steady!
 
Hahahaha na sisi wenye Benz tunapaki wapi
Unajua kuna kitu wewe huelewi, kuna magari yana mshawasha wa aina yake. Labda nikupe mfano; Justin bieber ni msanii mkubwa sana zaidi ya Diamond platnumz, lakini kwa hapa bongo mtaje Justim halafu mtaje Dai, mshtuko utakuwa mkubwa kwa Dai, ila justin kwa huko kimataifa ndio atatamba sio hapa, sasa hayo ma BMW na Benz ni huko, hapa hazina mashiko.., tumeelewana wa mzee?
 
Yaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.

Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.

Guudduu mie napenda sana magari, nilianzia crush na Nissan BMW na Brevis zina kamlio flani hivii.... zikipita barabarani lazima nipige kiwi cha macho. Hehehehehhee
 
Unajua kuna kitu wewe huelewi, kuna magari yana mshawasha wa aina yake. Labda nikupe mfano; Justin bieber ni msanii mkubwa sana zaidi ya Diamond platnumz, lakini kwa hapa bongo mtaje Justim halafu mtaje Dai, mshtuko utakuwa mkubwa kwa Dai, ila justin kwa huko kimataifa ndio atatamba sio hapa, sasa hayo ma BMW na Benz ni huko, hapa hazina mashiko.., tumeelewana wa mzee?

Acha kujidanganya dogo nilikuwa Toyota na sasa niko BMW tofaut ni kubwa mpk kwa heshima
Siku hizi barabaran kila nayepishana nae lazima ageuke kunichek(especially wa toyota)

Halaf kweli ulaji wa mafuta mnaongelea brevis ya cc 2490 kweli? achen utan basi
 
Mzee mimi similiki Benz nimeunga mkono hoja tu kwa jamaa niliye mquote hicho ni kichekesho cha utani kwa wahaya. Halafu hata BMW sijui Benz au AUDI used zipo za bei chee kuanzia 15 na kuendelea sawa tu na used zetu za Toyota so no big deal
 
Acha kujidanganya dogo nilikuwa Toyota na sasa niko BMW tofaut ni kubwa mpk kwa heshima
Siku hizi barabaran kila nayepishana nae lazima ageuke kunichek(especially wa toyota)

Halaf kweli ulaji wa mafuta mnaongelea brevis ya cc 2490 kweli? achen utan basi
Ila mkuu kuna magari ya mgermany yana engine kubwa lakini ulaji wake wa mafuta mdogo compared na magari haya ya brevis kutokana na uhybrid wake
 
Back
Top Bottom