Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Nalijua hilo gari. Hivyo vigari safi saana kama unaendesha for fun. Sasa hivi wametengeneza kingine kinaitwa GT86, kuanzia mwaka 2012. Sasa hivi bado kina gharama saana.
Ni kweli mkuu na hivi wazitengeneza kwa ushirikiano na subaru nadhani zitakua mkao sana(gt 86=subaru brz),shida iko expensive ila tutasubiri huko miaka ya mbeleni ikishapoa bei kama kawaida yetu mkuu,hahah.
 
Ni kweli. Najua hata gharama za matunzo zitakuwa juu. Mfano ulinunua ile yenye air suspension, ikizingua gharama yake sio ya kitoto. Ile inafaa mtu mwenye gari zaidi ya moja, analitumia kwenye matukio muhimu tu, sio matumizi ya kila siku.

Nadhani hapo kwny air suspension kwa mtazamo wangu gari yenye hio kitu si ya kununua, bora ununue gari hio hio lkn yenye standard suspension maana nimeona hata discovery 3 zenye air suspension ikizingua mamilioni yatakutoka aisee.
 
mzigo huu hapa ninazo video sema zinakataa kuapload nimeamua kukupa links za insta

ile chaser JZX100 1JZ-GTE ya frisby

kenyan subaru N14 kwenye arusha 2 drag racing

frisby EVO 6 rs vs kenyan GTR r 35

frisby aristo 2JZ-GTE 400+ bhp

samiji's ARISTO vs Frisby's ARISTO destination arusha drag racing

fastest subaru in kenya and east africa.... impreza N14 Driven by KENYAN george bett

Aisee umetisha sana mkuu,ngoja nizichek kwny link ntakupa feedback.
 
Ni kweli mkuu na hivi wazitengeneza kwa ushirikiano na subaru nadhani zitakua mkao sana(gt 86=subaru brz),shida iko expensive ila tutasubiri huko miaka ya mbeleni ikishapoa bei kama kawaida yetu mkuu,hahah.
inayotolewa na toyota ile gt86 hamna kitu kabisa.... bhp 210 kwa bei ile si bora ununue mark x au crown tu ili chenji ibaki 😂😂....

sema gt86 ni nzuri kama unataka kuigeuza project car inakubali tuning vizuri sana ila ikiwa stock ni good looking slow car
 
inayotolewa na toyota ile gt86 hamna kitu kabisa.... bhp 210 kwa bei ile si bora ununue mark x au crown tu ili chenji ibaki ....

sema gt86 ni nzuri kama unataka kuigeuza project car inakubali tuning vizuri sana ila ikiwa stock ni good looking slow car
Hahah sasa mkuu tofauti ya brz na gt 86 iko kwny nini hasa maana naona ilikua ni joint project ya toyota na subs.
 
brz was more powerful na ilikuwa limited edition only few units produced...

baada ya hapo wakamwachia toyota akaendelea na gt86 kila kitu sawa na brz tofauti ni perfomance tu...
 
soma kwenye 4U uone hyo engine ilivyo na power ndogo 195-210 sasa hapa siunaenda sambamba na mwenye kialteza cha 3S-GE 😂

ndio maana gt86 ikabatizwa jina la good lookin slow car

gt86 ukiikuta ina badge ya subie brz ujue imefanyiwa tuning toka kiwandani very rare to find

Toyota U engine - Wikipedia
 
Hahah sasa mkuu tofauti ya brz na gt 86 iko kwny nini hasa maana naona ilikua ni joint project ya toyota na subs.
mkuu nilikubishia bure asee kumbe zote zikiwa stock ni 195- 205 bhp..

kumbe zile brz limited edition ziliuzwa chache ... then subaru akaendelea kutoa standard brz ambazo ni the same kila kitu hadi power na gt86
 
brz was more powerful na ilikuwa limited edition only few units produced...

baada ya hapo wakamwachia toyota akaendelea na gt86 kila kitu sawa na brz tofauti ni perfomance tu...
soma kwenye 4U uone hyo engine ilivyo na power ndogo 195-210 sasa hapa siunaenda sambamba na mwenye kialteza cha 3S-GE

ndio maana gt86 ikabatizwa jina la good lookin slow car

gt86 ukiikuta ina badge ya subie brz ujue imefanyiwa tuning toka kiwandani very rare to find

Toyota U engine - Wikipedia

Daah aisee toyota walibugi ni sawa tu acha iitwe"good lookin' slow car",hahah.

Nimeona Supra inayotegemea kua debuted 2019 itakua ni joint project ya Toyota na Bmw Z4 na engine itakua ni za Bmw(zote in inline).

Ya 4 clyinder turbo charged itatoa 263 hp na ya 6 clyinder turbo charged itatoa hp 335.

I don't know why japs wanazi abandon engine zao zilizokua easy to modify na cheap to maintain,ukianza kuweka engine za Bimma ndipo complications naona zitaanzia hapo.
 
mkuu nilikubishia bure asee kumbe zote zikiwa stock ni 195- 205 bhp..

kumbe zile brz limited edition ziliuzwa chache ... then subaru akaendelea kutoa standard brz ambazo ni the same kila kitu hadi power na gt86
Aisee kumbe this time brz iliingizwa cha kike aisee.
 
Daah aisee toyota walibugi ni sawa tu acha iitwe"good lookin' slow car",hahah.

Nimeona Supra inayotegemea kua debuted 2019 itakua ni joint project ya Toyota na Bmw Z4 na engine itakua ni za Bmw(zote in inline).

Ya 4 clyinder turbo charged itatoa 263 hp na ya 6 clyinder turbo charged itatoa hp 335.

I don't know why japs wanazi abandon engine zao zilizokua easy to modify na cheap to maintain,ukianza kuweka engine za Bimma ndipo complications naona zitaanzia hapo.
wanaanza kuzingua nimeona kwenye forums za wadau wa JDM wanaiponda hyo supra inayokuja ... wanasema imepoteza ule mwonekano signature ya supra
 
Back
Top Bottom