Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Yes. Dsm utapata. Nafikiri inaweza kuanzia 1.5 au 2m.
mzee asante sana kwa informations.kwa maelezo niliyosoma humu nikichanganya na zangu.nimeamua tu ninunue altezaa ya 1GFE. 2JZ GTE nimefuatilia nimeona ni ngumu kupatikana.3SG nimeona wanasema mafuta msala.kuna hela nimepata nimeamua nichukue 1GFE then niiweke fresh nibadilishe na exhaust.swali la mwisho.inawezekana kufanya modifications na kuweka turbo kwenye 1GFE?
 
Hehehee, wanakuogopesha tu. 3S ni bonge la engine. 4cylinder lakini ina nguvu kuliko 1G. Kwa upande wa mafuta, 3S iko vizuri kwa mjini kuliko 1G. Maana kwa lita moja, 3S inaweza kukupa mpaka km 9, ila 1G ni 7 mpaka 7.5 kwa mjini. Japo 1G vile ni 6cylinder, kwa kweli imetulia zaidi kuliko 3S. Na kwa highway, kama ukienda nayo vizuri, unaweza tumia lita moja kwa km14.

Tuning kwa 1G unapata mkuu. Na kuna nafasi ya kutosha ukifungua bonnet la Altezza yenye 1G kuliko 3S.
 
wewe kati ya 1G na 3S unaikubali ipi?. gharama ya turbo charger + fundi inaweza fika sh.ngapi?
 
Mie napenda utulivu wa inline 6, hivyo 1G naipa nafasi zaidi. Faida pia ya 1G ni upatikanaji wa spare parts. Ni engine common saana hapa kwetu. Maana imeanzia kwenye GX100 ya kina Mark 2, Chaser, Cresta, then kwenye GX110 Mark 2 na Verossa. Pia kuna Crown za kizamani zina 1G. So ni rahisi saana kuimaintain.

3S ya kwenye Altezza ni very unique. Ilitengenezwa kwa ajili ya Altezza pekee. Kumbuka kuna engines za 3S kibao mpaka kwenye Rav4, ila hiyo unayoiona kwenye Altezza ni ya Altezza pekee. So ikizingua kitu unaweza jikuta unasumbuka kukipata mpaka upate cha hiyo hiyo ya Altezza.

Kwa upande wa gharama ya turbocharger, inapishana saana kutokana na kit utakayochagua. Ila kama unataka kit nzuri, nafikiri kuanzia 5m. Mafundi wengi wapo Dsm na Arusha.
 
shukrani mzee ntaleta mrejesho
 
2JZ-GTE turbocharged
images%20(4).jpg
 
Back
Top Bottom