Toyota allex inauzwa

Toyota allex inauzwa

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
10,745
Reaction score
29,218
Nzei model ya 2004
km 79000
cc 1500
Imesajiliwa dec 2013
iko kwenye hali nzuri
ml. 11 na laki tano unachukua gari.
Wasiliana kwa 0782 239892, 0657 326169 au 0713 307072
 
kumbe hayo ma mikweche ndo mnayaita magari!!..huku uk ukionekana na mkokoteni kama huo unafukuzwa mjini!...kweli bara la giza bado mna njaa sana!!...eti milioni kumi gari!...mxiuuuuhh!!
 
what kind of human being are you??? mbona unajitafutia laana??
 
Samahani dada, hivi we unaendelesha gari gani vile?
 
mzeez WA mbebez naonaz unatafutaz umaarufuz, VP mbebez ulipataz???
 
kumbe hayo ma mikweche ndo mnayaita magari!!..huku uk ukionekana na mkokoteni kama huo unafukuzwa mjini!...kweli bara la giza bado mna njaa sana!!...eti milioni kumi gari!...mxiuuuuhh!!

ndio nyie mnataka uraia wa nchi mbili wakati mna dharau mlikotoka kiasi hicho??? bara la giza???
 
Unaishi UK ipi mwenzetu? Maana sisi tunaziona nyingi tu tena central London.Na kuna gari zingine zipo thamani yake ndogo kuliko hiyo Allex.Acha ushamba wewe,mambo ya kizamani hayo.Kwa taarifa yako watu UK wanakuja kutembea na kula bata halafu wanarudi bongo,halafu wewe unaona kuishi UK dili,Tanzania ya sasa si ile ya kipindi cha ujamaa wewe mburula.
 
Kila mdharau kwao ni mtumwa.
 
Nadhani huyu holygrail lazima atakuwa sio binadamu. Binadamu aliye na akili timamu aliye na ufahamu wa kuishi na ucha Mungu ndani yake anaejua kuwaheshimu binadamu wote hawezi kuandika alichoandika huyu roho chafu. Msameheni jamani anaweza kuwa msukule yuko UK.

Kweli maskini akipata Matak0 hulia mbwata..!!

ndio nyie mnataka uraia wa nchi mbili wakati mna dharau mlikotoka kiasi hicho??? bara la giza???

Unaishi UK ipi mwenzetu? Maana sisi tunaziona nyingi tu tena central London.Na kuna gari zingine zipo thamani yake ndogo kuliko hiyo Allex.Acha ushamba wewe,mambo ya kizamani hayo.Kwa taarifa yako watu UK wanakuja kutembea na kula bata halafu wanarudi bongo,halafu wewe unaona kuishi UK dili,Tanzania ya sasa si ile ya kipindi cha ujamaa wewe mburula.

Acha zarau.

Holygrail
Kama huna la kuandika tafadhali usitafute watu neno la kusema tafadhali

what kind of human being are you??? mbona unajitafutia laana??
 
Last edited by a moderator:
Si ajabu huyo Holygrail anaosha matreni ya umeme London...sidhan kama mtu mwenye kazi ya kueleweka anaeza akawa hvi
 
Samahani dada, hivi we unaendelesha gari gani vile?

Wewe holgrad. Sijui danganya ambao hawajafika uk ukimiliki ki sterlet shukuru mungu mishahara yenyewe pound 6 kwa saa wiki ikiisha huna kitu unaweza kulipia insuarance wewe ukiwa na gari la thamani limbukeni kweli wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom