Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,868
- 3,624
zinakula mafuta sana kwa matumizi ya Dar bhana, Natamani sana ATHLETE ila kwa safari za kutoka kibamba hadi sinza daily majangaSiku hizi Toyota wametugeuka. Yaani salon zao nzuri nzuri zote zina engine kubwa. Mark x, Crown zote zinaanzia kwenye engine ya 4GR (cc2500) na kuendelea. Camry pia inaanzia cc2400