Tour Operator, Marketer and Hotel Manager

DsmicSound

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,555
2,000
Hizo zilizo kwenye kichwa cha habari ni miongoni mwa Professions ambazo naweza kuzifanya kwa ufanisi mkubwa kwenye tour company, hotel au travel agency, au hata kitengo cha marketing department kwenye industry yoyote.

Nikiwa na Bachelor Degree of Commerce (Specialized in Marketing and Tourism & Hospitality Management) from University of Dar es salaam Business school.

Nipo tayari kukutumia CV endapo ungehitaji mtu kama mimi.

Nipo tayari kwa mazungumzo na kuanza kazi muda wowote kuanzia sasa.
 
WANtEd86

JF-Expert Member
Dec 12, 2014
575
250

Check na Hawa.. UPL safaris wako Mbeya walitoa hizi na hawakuweka deadline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom