Touching story

Kama Jesus alipigwa picha wakati huo basi technology ya camera, ilianza zamani sana!

Sasa hivi picha za Jesus ziloibuka zinatoka wapi?

Na wapi imeandikwa kwenye Biblia kuwa Jesus alikuwa na muonekano huo?
 
Kama Jesus alipigwa picha wakati huo basi technology ya camera, ilianza zamani sana!
Mbona FBI wanatoa mchoro wa mhalifu ambaye hajapigwa
picha na unakuwa sawa na picha yake
cc Gaijin
 
Last edited by a moderator:
Wakristo wengine na watu wengine wa dini zile zingine, ni kweli ni watumwa wa dini zao!

Fafanua, hujaeleweka

Dini zile nyengine, zipi?

Na hao pamoja na Wakristo wengine ni watumwa wa dini zao vipi?
 
Mbona FBI wanatoa mchoro wa mhalifu ambaye hajapigwa
picha na unakuwa sawa na picha yake
cc Gaijin

Hao FBI wanapochora hiyo michoro huwa na source ya mfananisho wao

Hukusanya mashahidi waliokuwepo kwenye tukio, pamoja na viashiria vyengine kama mabaki ya nywele nakadhalika

Sasa hayo ya Jesus walifuata chanzo gani hata kufikia kwenye sura hiyo inayoonyeshwa hapo?
 
Kulikua na mchoraji mmoja mzuri sana baada ya Yesu, akawakusanya wazee wengi wa zamani
waliomuona Yesu na kumpa mafananisho unayoyataka na akamchora kama alivyo
 
Food for thought

Huyo uliyemuweka wewe Boflo na huyu ni mtu huyo huyo mmoja?

 
Last edited by a moderator:
Kulikua na mchoraji mmoja mzuri sana baada ya Yesu, akawakusanya wazee wengi wa zamani
waliomuona Yesu na kumpa mafananisho unayoyataka na akamchora kama alivyo

Mkono mtupu haurambwi

Lete source ya maelezo yako

Besides, picha za kwanza za Jesus hazikuwepo hadi karne kadhaa baada yake

Na zinatofautiana mno na hiyo uliyoiweka leo

Au ndio anakwenda akibadilika.....

Becoming hipper and more angelic as time goes?

Hii ni picha ya Yesu inayosemekana kuwepo mwaka 1508




Na hii nyengine inasemakana ni ya mwaka 705

 
Mimi ni mkristo pure, lakini siku zote naipinga hiyo picha kwa sababu kuu hizi:
1. Hiyo ni image ya mtu wa kwanza aliye-act movie ya maisha ya Yesu, sasa kwa sababu ya uchanga wetu waafrika wa Teknolojia enzi hizo tukaacha itumike hata kwenye vitabu kama kielelezo cha kufundishia watu hata Sunday School. Kuonyesha sura ya upole ya Yesu na Vice versa kwa shetani (Picha ya kutisha), wakati kiukweli shetani haji kwa sura mbaya hivyo na wote tunajua hilo.

2. Huwa nawauliza kwa mfano ingetokea Steven Kanumba angepata bahati ya kuekti movie ya Yesu kwa mara ya kwanza , je picha ya Kanumba ndiyo ingekuwa ikitumika makanisani? Ni vizuri taswira za wasanii wa movie tukawachia wenyewe sisi tufanyie kazi mafundisho yaliyomo tu.

3. Hizo pia zilikuwa ni mbinu mojawapo za kuwafanya Waafrika wautukuze Uzungu (Ngozi nyeupe)na kupuuza tamaduni zetu za kiafrika.
 
2. Huwa nawauliza kwa mfano ingetokea Steven Kanumba angepata bahati ya kuekti movie ya Yesu kwa mara ya kwanza , je picha ya Kanumba ndiyo ingekuwa ikitumika makanisani?

History is written by the victors

Mbali na mengine, dini zilitumika (zinatumika?) katika kuzipa nguvu jamii moja kuitawala nyengine

Unapoamini Mungu aliyekuletea yeye, aliyefanana na yeye, asiyekuwa na ufanano wowote na wewe ni rahisi mno kudhani aliyekuletea ni superior kwako wewe

Kwa hiyo haingewezekana kwa waliosambaza dini, kuruhusu Yesu kuwa zaidi ya ufanano wao


Salvation Waafrika lazima muiombe kupitia Mzungu
 

wapenda kuabudu mapicha na masanamu ya kikatoliki mna utawajua tu...
 

Na huyu hapa wa mwingine;

 
Na huyu hapa wa mwingine;


Kheri hata Waafrika wangetumia image hiyo ya Yesu

Sio watoto wakisali, kichwani picha ya Mzungu

Kisha tunashangaa kwa nini watu wanakuwa na inferiority complex mbele ya Wazungu
 
Boflo;

There was an atheist couple who had a child. The couple never told their daughter anything about the Lord. One night when the little girl was 5 years old, the parents fought with each other and the dad shot the Mom, right in front of the child. Then, the dad shot himself. The little girl watched it all. She then was sent to a foster home. The foster mother was a Christian and took the child to church. On the first day of Sunday School, the foster mother told the teacher that the girl had never heard of Jesus, and to have patience with her. The teacher held up a picture of Jesus and said, "Does anyone know who this is?"


The little girl said, "I do, that's the man who was holding me the night my parents died



Your point is.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…