Toubaaa akina mama mnatuibia jamani, punguzeni mnatumaliza!

Toubaaa akina mama mnatuibia jamani, punguzeni mnatumaliza!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
Chanzo ya yote hii michepuko, mpaka mnabambikia waume zenu watoto wa nje, siku ya mwisho mtasema nini sir god, akina mama mnatuua ua ua ua uaaaa!
b6bcf55725575c3ae856dfdef7dfd753.jpg
 
Inasikitisha sana...

Sometimes hata mama mwenyewe hana uhakika na yupi baba halisi wa mtoto, kwa matendo yake...

Ukisikia tu unaambiwa, kama umeikataa mimba, nitamlea mwanangu mwenyewe, alafu ole wako uje kumulizia mtoto... Ujue hata mama mwenyewe hana uhakika...

Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom