Mwabhleja
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,369
- 2,105
Kabisaaaa, sisi tunachotaka ni furaha buana.
Kale kakocha ka Man U hata hakaongei utadhani kila saa kako msibani

Kale kakocha ka Man U hata hakaongei utadhani kila saa kako msibani

Kweki dunia inakimbia. Kwa mara ya kwanza mashabiki wa United tunajikuta tunaanza shabikia timu nyingine epl. Acha wabaki na timu yao wapuuzi akina Woodwork. Now tuko na fundi Jowzey.