Mkuu kwahiyo unataka kusema beauty is in the eyes of beholder?Mwenye kupenda chongo huita kengeza...sijaona uzuri wao
duh! kazuri lakini mbona kama kaagness mavideo x haka.
angalau huyu maana umbo lake lina ubantu fulani sio vile vifupa tupu.So Good! Mikato ya Allien! wapi Mtoto hii hapa?
Na ungekuwa mtoto wa fisadi tungeshakuwa tumeshakuzika siku nyingi sana!!