Toto tundu

Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,403
35,083
uploadfromtaptalk1452349009782.jpg
 
Wazazi wenye watoto wadogo, kuna haja ya kufunga certain kind of a chain nyuma ya vitu kama jokofu, flat screen TV, makabati and the like. Kuna ajali nyingi zinatokea majumbani kwa watoto kuangukiwa na vitu wanapojaribu kupanda. CHUKUA TAHADHARI.
 
Uko sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom