kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
mdogo ake Lupita nyongo alieshinda tuzo ya Oscar makoye
(nicheke kwa style ipi???) kwa kwa kwa kwa
mdogo ake Lupita nyongo alieshinda tuzo ya Oscar makoye
Hapa mashallah imetumika kwa maana gan?
(nicheke kwa style ipi???) kwa kwa kwa kwa
tuwekee shombeshombe...
Dada zenu walimbwende kweli ila wa baridiiii...lakini hebu weka bana tuoshe macho
Mmmmmh....unatiririka
Shemkwe nani kakuonesha hiyo maneno...ujue kuna mtu kaniandikia hapo 🙂
Sasa hilo swali au mpk usome kwenye Friday wekienda?Hivi yule almasi hajapita hapa???
Mdg wake uncle Kidevu.Ndio nani huyu?.
Ha ha ha mfupi huyo,ni viatu vimempa urefuLazima kutakuwa na Chemist... kati ya Mpare na Msukuma, haiwezekani mpare awe mrefu hivyo....