Hayo matoke,sato,sangara na mputa vinavyotoa shape nzuri ni kwa wanawake tu? Mbona shape za wanaume choka mbaya utafikiri wamepigwa na bomu kulikoni? Huwa hawali au?

African figure. Mzuri. Ila kitu kimoja lazima tukubali, wasichana wengi wanapendeza sana wakivaa nguo fulani, ila ukiwaona na nguo zao za kuzaliwa hawako na mvuto kiviiiiiiile, alafu shape hii kusini mwa Tz za kumwaga.