Toto africa yashuka daraja

Toto africa yashuka daraja

The wailer

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Club soka ya toto africa imeshuka daraja na mm binafsi nimefurahi kutokana timu hii kuwa kikwazo kwa simba
 
ishuke na ife huwa inafikiri ligi ni kucheza na simba tu.
 
Club soka ya toto africa imeshuka daraja na mm binafsi nimefurahi kutokana timu hii kuwa kikwazo kwa simba

Kwani Simba amefungwa na Toto pekee? Nasikia Libolo nalo limeshuka daraja. Andaeni sherehe kabisaaa!
 
Kwani huko mwanza hakuna matajiri, utasikia mara timu imelala njiani
 
haikuwa na ushindani kwenye ligi!kila mwaka ilikuwa ikipigania kutoshuka daraja badala ya kupigania kuwa bingwa!ngoja wajipange upya kama wataweza watarudi na akiri ya kiushindani la watapotea kama pamba!
 
Dah! ko simba itacheza na nani sasa?
 
Kwani huko mwanza hakuna matajiri, utasikia mara timu imelala njiani

matajiri wa mwanza wote wako simba, halafu hii timu iko na connection na CCM wakati Mwanza ni stronghold ya CHADEMA, kushabikia toto ni kufurahia umasikini ulioletwa na CCM.
 
Ondoa siasa hapa, hili ni jukwaa la michezo. Pamba SC ni tawi la Simba, iko wapi, sasa hawa matajiri wa Simba hapo Mza wanafanya nini? Au wameugua Libolo fever!
 
Pamba Sc haijawahi kuwa tawi la simba, kama una ushahidi wa hili leta
 
Hapo chacha simba washamba tu mwaka huu sijui mtakuwa wa tano...;-)
 
Ishuke na ife... huwa inagawa points 6 za bure kwa Yanga kila msimu
 
Toto Afrika ni 'Lingongongo' (treni) linaloingia kwenye njia ya jabali likitokeza upande wa pili, mwendo ni ule ule tu, acha Mnyama apumue mwaka ujao, baada ya hapo kipondo kama kawa.
 
Club soka ya toto africa imeshuka daraja na mm binafsi nimefurahi kutokana timu hii kuwa kikwazo kwa simba

Hivi timu zinashuka 2 au 3? Kama ni 3 hakuna ubishi, African Lyone, Polisi Moro na Toto Africans zimeshuka daraja. Endapo timu 2 zinashuka Toto Africans si mojawapo, zinashuka African Lyone na Polisi Moro. Toto watawafunga Ruvu Shooting Kirumba wakati Wagosi wa Kaya wakiisulubu Polisi Moro pale Jamhuri. Subiri May 18 uone utabiri ukitimia.
 
Zinashuka tatu.
 
Ondoa siasa hapa, hili ni jukwaa la michezo. Pamba SC ni tawi la Simba, iko wapi, sasa hawa matajiri wa Simba hapo Mza wanafanya nini? Au wameugua Libolo fever!
:A S 103::A S 103:

habari yako mtani:A S 103:
 
Back
Top Bottom