Totally Henock Inonga jana alikuwa Out of Form nani ananibishia hili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.

Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.

Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
 
Ng'eeeeeeeeng'eeeeeeeeeeeeng'eeeeeeeeeeeeeeeeee!
FB_IMG_1708800071658.jpg
 
Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.

Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.

Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
Popoma katika ubora wake
 
Uchambuzi na malalamiko yanini? Muendelee kuhamasishana kununua jezi za Mamelod ndio mlilokuwa nalo hilo kwanzia droo ipangwe. Vaeni jezi zenu za Mamelod mtambe mtaani na mvimbe siku ya leo.
 
Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.

Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.

Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
Nadhani humu JF ni Mimi na wewe labda na 1979Magifuli tunaomkosoa huyu Mkongomani. Inonga ana madhaifu kadhaa na mengi yanatokana na kupenda sifa kupitiliza. Lingine ni kushindwa kuzuia Kross za chini hasa zimazotokea kushoto.

Kingine kwenye mechi ya Jana goli lile limeanzia kwenye madhaifu ya Zimbwe. Ile sliding tackle inakuwa nzuri ukipatia, lakini ukikosa inakuwa disaster.

Kuokoa Kwa kuangukà chini hakukupi nafasi ya kusahisha makosa maana mpaka uinuke madhara yashatokea.
 
Nadhani humu JF ni Mimi na wewe labda na 1979Magifuli tunaomkosoa huyu Mkongomani. Inonga ana madhaifu kadhaa na mengi yanatokana na kupenda sifa kupitiliza. Lingine ni kushindwa kuzuia Kross za chini hasa zimazotokea kushoto.
Kingine kwenye mechi ya Jana goli lile limeanzia kwenye madhaifu ya Zimbwe. Ile sliding tackle inakuwa nzuri ukipatia, lakini ukikosa inakuwa disaster. Kuokoa Kwa kuangukà chini hakukupi nafasi ya kusahisha makosa maana mpaka uinuke madhara yashatokea.
Anapenda sifa alikua anadhani hao ni Jwaneng
 
Ndio matokeo ya mpira yalivyo, unakosea na unaadhibiwa. BTW hao wafungaji wenu wamekosa magoli mengi mno mechi ya jana
 
Mbona kina mzee Saidoo, kichaa kibu, legelege chama na jambazi kanoutee wamekosa mabao ya wazi na hamuwalaumu? Ila inonga tyuuh?

Mbona hicho kimbau mbau zimbwe ndo kilichosababisha tufungwe bao? Yaan toka amuoe yule bibi muhindi koko wa upanga na mpira unamkataa mfyuuuh.
 
bado hamjasema

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Simba mechi kaiharibu mwenyewe. Zile nafasi wangepata Yanga tungekua tunaongea mengine saizi.
 
Nadhani humu JF ni Mimi na wewe labda na 1979Magifuli tunaomkosoa huyu Mkongomani. Inonga ana madhaifu kadhaa na mengi yanatokana na kupenda sifa kupitiliza. Lingine ni kushindwa kuzuia Kross za chini hasa zimazotokea kushoto.
Kingine kwenye mechi ya Jana goli lile limeanzia kwenye madhaifu ya Zimbwe. Ile sliding tackle inakuwa nzuri ukipatia, lakini ukikosa inakuwa disaster. Kuokoa Kwa kuangukà chini hakukupi nafasi ya kusahisha makosa maana mpaka uinuke madhara yashatokea.
Upo sahihi kwanza Zimbwe anapenda kuingia Kati badala ya kukaa pembeni.na.ndiye anasababisha magoli mengi kwa kufanya beki ya Kati ikatike, pili Inonga anajifanya star eneno Kama lile beki alitakiwa kuosha yeye akaleta madoido, binafsi ni heri Simba wamuuze walete beki katili na pia shabalala muda mrefu alitakiwa .kupewa mbadala.
 
Japo siyo mshabiki wa mambo ya mipira ila jana nilikaa mazingira na jamaa wawili watatu kwa ajili ya kubadilishana mambo kadhaa nilishangaa mno goli linafungwa watu walishangilia kama waarabu yani kwa huo ujinga, umasikini na maradhi hamponi.
 
Back
Top Bottom