ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
Hi si mtihani. But have you ever wondered about the exact number of colours that a computer screen can display? Nani anajiskia kujibu hili?
kama ni total number of 'DOTS' of color hapo atakua anamaanisha 'pixels'. na zinatofautiana kulingana na size of display & Aspect ratio ya screen. Kama swali lina maana nyingine hapo sijui
poa Dreson. How about the number of colours that a computer has? You can't just say it is infinite. There has to be an exact number. Na mtu asiniambie Who cares. Nataka watu wanaweza kufkiria more than an average person hapa. Tukune vichwa!Mkuu rangi inategemea na Screen yenyewe, nadhani ushawahi kusikia au kuona kitu 16bit 8bit 32bit kwenye display yako kwenye sehemu ya kubadilisha screen, sasa kwa kila bit inaenda kiexponential kwa wale wa hesabu, mfano 1bit inakua 2^1 ambayo ni rangi mbili kikawaida hua ni black&white au wengine wanaita monochromatic... sasa kwa screen nyingi tumezoea hua zinafika 32bit ambayo ni rangi 2^32, sasa fanya calculation hap ni billions of colors.. sijui sijafuatilia kama kuna screen zinazodisplay zaidi ya hapo ila hadi softwares nilizoona kama photoshop na za 3D zinaishia 32bit