Toshiba Vs Dell

kanjuki

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
209
Reaction score
95
Habari, hizi kampuni za utengenezaji wa vitu zinatofautiana Sana katika bidhaa zao hasa linapokuja suala la ubora na uimara wa bidhaa. Karibuni tushirikishane ubora wa bidhaa za makampuni haya mawili hasa katika ubora na uimara wa bidhaa..karibu tujadili
 
acha,kufananisha..TOSHIBA,na..vitu,vya..kijinga,kama..DELL,LENOVVO
 

Baadae ukishapata jibu nami naomba kujua ubora kati ya Mkokoteni na Kirikuu.
 
Safi mkuu kwa majibu yako ..
 
Baadae ukishapata jibu nami naomba kujua ubora kati ya Mkokoteni na Kirikuu.
[emoji4] [emoji4] sawaa rahisisha zaidi kutokana na muktadha wa swalii..mkokoteni ni kipii na kirikuu ni ipiii. ......
 
Majina Tu hayo yasiwachanganye kinachoamua ubora wa pc Ni specifications zake. Wote wana pc zinazolingana
 
pc zipo mature sana, leo hii hata wewe unaweza ukaingia mtaani ukatengeneza laptop/desktop yako kwa ku assemble vitu na ikawa na ubora mkubwa tu.

kinacholeta ubora wa computer ni vifaa vya ndani vilivyotengenezewa na sio jina la hio computer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…