Ok sasa hiyo ni bomba kabisa . RAM 4GB ni mre than enaough .Sasa fanya
observation unapowasha na inapokuwa slow
- matumizi ya CPU na RAM yyanakuwaje kwa parcentage?
- Process gani tatu au nne kuu zinakula memory kiasi kikubwa?
Kama mashine inapokuwa slow CPU usage % inakuwa ndogo( eg below 70%) basi tatzio laweza kuwa la
HARDWARE eg
HDD. Hapa nitakushauri chunguza computer management
check event log za system zinasemaje zinaweza kuwa na kidokezo muhimu
Kama inapokuwa slow CPU inaonyesha iko usage kwa 80 au 90 na zaidi basi kuna process fulani na probally
virus au
bug kwenye appplication unazotumia zinakula reosuces sana zaidi ya inavyotakikana. yaani tatizo itakuwa
SOFTWARE
Kitu kingine cha muhimu nilichosahau hiyo slow ni ya nini hasa ?
Kama ni slow ya kwenye
mtandao wa internet inaweza isiwe tatizo la mashine . Ni suala la QoS la network ya ISP. Laini kma ni slow kwenye mambo ya Msword basi endelea kuchunguza tatizo