Toronto Tanzania solidarity - shames mining company | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toronto Tanzania solidarity - shames mining company

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 17, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hii ni aibu jamani yaani nawaona watu weupe hapo wanaandamana kwa mgodi uliopo mara lakini sisi na viongozi wetu waaaaaaala tunaona safiiiii tu kwa raia wetu kufa  Approximately 70 people gathered outside the University of Toronto's Munk School of Global Affairs for a commemoration held for the seven individuals killed in Tanzania at African Barrick Gold's North Mara Mine. Peter Munk, who recently donated $35million to the University, is the founder of Barrick Gold.

  Public outcry over this violence has been amplified by recent reports that local security/police forces employed by the mine have attempted to ban a memorial ceremony for the deceased. To the horror of many local families, these security forces also stole 5 of the 7 peoples' bodies from the mortuary.

  The violence surrounding Barrick's North Mara mine has been ongoing since the company first arrived in the region. Mass displacements, lost livelihoods, contaminated water and the resulting health impacts are at the root of the ongoing violence.

  <span style="margin-top: 0pt; margin-right: 0pt; margin-bottom: 0pt; margin-left: 0pt; ">
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Tatizo la hizi kampuni zinatoa pesa kwa serikali za maendeleo lakini pesa zinatumika sehemu nyingine na nyingi zinaliwa. Kampuni inatakiwa kutumia chombo kingine kusaidia jamii ya mgodini kama marekani wanavyotumia Millenium challenge.
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo tatizo lipo serikalini,wameweka mbele kura pesa zinazotolewana makampuni,

  kwa nini tusifanye kama Botswana? wao kabla huja anza project ni lazima ujenge miladi uliokusudiwa kwa wahusika
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Very Sad!
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hakuna hela inayotolewa wewe..mi nafanya kazi huko huwezi kusema $200,000 kwa mwaka ndo hela wakati hiyo ni production ya 3 days!! ushanifahamu
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu zaidi vitu kama hivi havitakiwi hata kuonyeshwa katika luninga kwa madai eti ni uchochezi kutavuruga amani tuliyoizoea, kweli kuishi Tanzania kwataka moyo
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hao walikua wachimbaji wadogowadogo waliokua wakitumia mercury kabla ya wawekezaji.

  Hivyo, hayo ni madhara ya MERCURY.

  Wawekezaji hawatumii mercury ku-recover gold.
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sasa inakuwaje serikali inaingia mkataba kwa pesa ndogo namna hiyo,ama ndio wanajaribu biashara,upepo ukiwa haueleweke baada ya miaka mitano wataanza kutulipa pesa nzuri eeeeeeeeh,du kweli wajinga ndio waliwao
  ujinga wetu ndio umetufikisha hapo,mwal nyerere alisema sisi bado wajinga mpaka tukielevuka ndio tuanze kuvuna haya madini,tumejifanya wajanja haya sasa kikuwapi jamaa wanasomba mali zetu,utasikia hisa serikali 20% mwekezaji 80% na mishahara ya kampuni serikali inalipa yote hehehehehehehe
  kuleni wazungu mali haina wenyewe
   
 9. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nikaweka thread ya vigogo toka wizara ya madini kuitwa Canada wakajieleze! Big SHAME!
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Aibu sana nchii hii ipo siku yao moja yote yatakwisha haya!!
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  najuwa huko majibu yao ni mepesi tu

  utasikia hao ni wezi wa madini yenu walitaka kuwaibia madini yenu na polisi wetu wapo pale kulinda maslahi ya wawekezaji na sio wabongo
  hivyo wakanada msi jari tutazidi kuwabana,ili wasiwaibie madini yenu,hayo ndio majibu ya viongozi wetu
   
Loading...