Mkuu mbona umekazana sana na hii ishu? Mkuu mimi nazani ni bora watu tujikite kwenye kufanyia kazi kila mkinacho postiwa huku haya maswala sijui ya kushindanisha hayana tija, kushindanisha ili iweje? tukishindanisha ndo watu wabadili fikira zao na kuwa wajasirimali?
Hili jukwaa now day linazidi kupoteza mvuto kabisa that is why hata mimi sionekani kabisa huku tofauti na zamani, na kuna sababu ni kwa nini sionekani huku,