Top universities in Tanzania 2018

Mbona sijakiona chuo cha watu wenye majukumi? Yaani ''Open University of Tanzania??"
 
Yaani UDOM kipo juu ya SAUT? Nitakuwa wa mwisho kuamini hii taarifa. Halafu nisaidie kuwauliza hapo kwamba hivi Viwango wamepanga kulingana na ukubwa tu wa eneo la Chuo husika au kwa IQ za Kutukuka zinazopatikana hapo Chuoni?

Ninachojua ni kwamba Ubora wa Vyuo Vikuu Tanzania upo hivi....

  1. UDSM
  2. MZUMBE
  3. MUHAS
  4. SUA
  5. SAUT
Kila la kheri.
 
Hii ndio list iliyozoeleka
 
Kumbe kuna chuo kinaitwa mipango? Na cha matumizi je?
Kuna chuo kipo hapo Dodoma, kinaitwa chuo cha mipango ndo hicho jamaa alikua anauliza kwamba hakioni kwenye list.
 

Hivi kile chuo cha KCMCo kimebadilisha jina siku hizi au mimi ndio sikioni hapo.
Eti st Joseph mbezi nayo ipo top ten? Hebu mda mwingine wawe serious
 
Mkuu acha kukariri, mambo yanabadilika kila sekunde... Usikute mwakani udsm ikaondolewa kabsa ktk orodha Kama ilivyo kwa OPEN UNIVERSITY katika orodha jadiriwa hapa
 
Mkuu acha kukariri, mambo yanabadilika kila sekunde... Usikute mwakani udsm ikaondolewa kabsa ktk orodha Kama ilivyo kwa OPEN UNIVERSITY katika orodha jadiriwa hapa

Hata ufanyeje na utumie nguvu gani ila huwezi kunishawishi kwa kuniambia kwa UDOM hii hii tunayoijua na products zake halafu ikaizidi SAUT. Narudia tena kusema ya kwamba nitakuwa wa mwisho kuiamini hiyo taarifa yenu. Mfuatiliaji yoyote na Mbobezi wa masuala mazima ya Kitaaluma na Kiutafiti hawezi kukubaliana nayo na binafsi nimeona ni Kichekesho cha mwanzoni mwa mwaka 2018.
 
Wanaolalamika Udom kuwa juu ya Sua, je malalamiko hayo ni kwa sababu wamezoea kuwaona Sua nafasi ya pili au kuna sababu nyingine?
 
Sijaona Cbe hapo.

Kwa mantiki hiyo. Hakuna ukweli hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…