Top universities in Tanzania 2018

Tofauti ya chuo kikuu na Institute kama vile IFM ni nini? Maana pote wanatoa degree.
 
vyuo vya serikali mnaongoza kwenye ubora hila kwenye mashule ya serikali division 0 kwahyo wanafunzi wanaotoka private ndio wanawang' arisha.
 
Eti hata KIU haipo
You must be kidding
KIU sio miongoni mwa vyuo vya Tanzania....inachukuliwa kama chuo cha nje na ndio sababu kila mwanafunzi anaemaliza KIU ni lazima apitishe certificate yake TCU Foreign Award Assessment system (FAAS) procedure ambayo hufanywa na kila mwanafunzi anayehitimu chuo cha nje.
 
Naomba source ya information mkuu
 
Eti hata KIU haipo
You must be kidding
KIU sio miongoni mwa vyuo vya Tanzania....inachukuliwa kama chuo cha nje na ndio sababu kila mwanafunzi anaemaliza KIU ni lazima apitishe certificate yake TCU Foreign Award Assessment system (FAAS) procedure ambayo hufanywa na kila mwanafunzi anayehitimu chuo cha nje.
 
Jaman naomba mnifahamishe ni sifa gan zilizo tumika kupanga ubola wa ivyo vyuo kutoka nafasi yan kwanza adi adi ya mwishoo ✍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…