Top ten University Tanzania, ed research 2010, caufman

Miaka tunasoma sisi chuo kikuu kilikuwa kimoja tu..hivi vingine naviona kama shule za kata!
 
1 University of Dar es Salaam
2 The Hubert Kairuki Memorial University
3 Sokoine University of Agriculture
4 The University of Dodoma
5 Mzumbe University
6 Ardhi University
7 International Medical and Technological University
8 Mount Meru University
9 St Augustine University of Tanzania
10 St. John's University of Tanzania
11 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
12 The State University of Zanzibar
13 Tumaini University
14 Teofilo Kisanji University
15 University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro

Source: Top Colleges & Universities in Tanzania | University Web Rankings
 
ndio nilimlenga sana ila kaamua kunyamaza ila kwanini Ifm ndio inaoneka kihvyo??

kama umepangwa nenda kasome halafu utajua sababu,kama umeshasoma hapo au unaendelea kusoma basi jibu unalijua ila unaigiza kama ujui vile.
 
Miaka tunasoma sisi chuo kikuu kilikuwa kimoja tu..hivi vingine naviona kama shule za kata!

tafuta definition ya maendeleo ndo utaelewa kua sio vya kata ni nyuo Kama hicho kimoja cha enzi zenu kibaya zaidi hicho unachosema cha kata ndo the morden one
 
1 University of Dar es Salaam
2 The Hubert Kairuki Memorial University
3 Sokoine University of Agriculture
4 The University of Dodoma
5 Mzumbe University
6 Ardhi University
7 International Medical and Technological University
8 Mount Meru University
9 St Augustine University of Tanzania
10 St. John's University of Tanzania
11 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
12 The State University of Zanzibar
13 Tumaini University
14 Teofilo Kisanji University
15 University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro

Source: Top Colleges & Universities in Tanzania | University Web Rankings
Hii sosi sio rilayabo, zis kant bi, Hubert kairuki ya pili
 
Mfano wa coz za ajabu ni zipi??

nitakuandikia collages za course zote zilizopo humo ujue ni miyeyusho,kwa kuanza na cass,conas,duce,muce,udse,udbs na collages ambazo zina respect ni coet na coict hapa uclas na muchs zilikuwepo miongoni mwa hizi zenye heshima ila kwa kuwa wamejitoa basi heshima ya chuo cha udsm ipo coet na coict.
 
jibu wewe unayetaka kutofautisha udsm na ifm.....

nilitofautisha kwakuwa UDSM na IFM havifanani..hata kwa ubora. Kaangalie ranks mpya ya vyuo, then select kila chuo usome taarifa zake..idadi ya maprofessrz, wanafunzi, mazingira, income, programs. e.t.c
 
kwa kutoa digrii kwa vilaza..

una maana gani Ndeticha? Chuo cha UDSM ni kizuri na hatuangaiki kwenye ishu za resources and mazingira. Uraza ni wa mtu mwenyewe aliyeshindwa kuzitumia resources za hapa.
 
nitakuandikia collages za course zote zilizopo humo ujue ni miyeyusho,kwa kuanza na cass,conas,duce,muce,udse,udbs na collages ambazo zina respect ni coet na coict hapa uclas na muchs zilikuwepo miongoni mwa hizi zenye heshima ila kwa kuwa wamejitoa basi heshima ya chuo cha udsm ipo coet na coict.

Wewe umekaririshwa maneno ya watu wa kitaa. Ngoja nikuulize....

Chuo kipi bora hapa Tanzania kwa kusomea Programs za Arst And Social Sciences? Utagundua ni UDSM ndio kinafundisha vizuri. Sasa kama ni hivyo kwanini hadhi ya CASS unaishusha? Huwezi kuilinganisha CASS na colleges nyingine za arts hapa TZ. Labda kwenye courses za ualimu ndio unaweza ukawa right.
 
me mwenyewe nko udsm bt kwa hli napingana na wewe.chukua mtu wa udbs let say anaesoma account afu kamlinganishe na mtu anaesoma account sehemu ka cbe,iaa au ifm uone ka wana tofaut,hvo hvo kule cass kawalinganishe na machalíi wa mzumbe udom uöne ka wana kipya.ukwel,udsm 2nabebwa kwa kiac kikubwa na coet na coict.over
 
mimi sipingani na wewe, wala na yeye.. Nakubali kuwa kuna colleges zinabebwa na jina, but kuna nyingine hapa udsm zinafundishwa vizuri kuliko vyuo vingine, hasa programs za Arts and Humanity!

Jana kulikuwa na kikao cha CASS nzima, tulikuwa tunapewa takwamu za masomo ya arts and humanity ktk job opportunities and teaching resources zake.

Mimi sitetei UDBS, mimi natetea CASS, Hapa Tanzania, chuo gani kizuri kusomea masomo ya arts and humanity?
 
Back
Top Bottom