zile ni za jamaa mmoja hivi, ni kwa ajili ya kuzitumia kwenye mchakato mzima wa kumsaka na kumkampenia mgombea uraisi amtakaye. Si unajua siku hizi haziivi kimtindo na mamvi?
Sred ya Shagikuku ya 'CCM Kirumba na gola'. Ilinikosha sana ingawa ukipost hairuhusiwi. Mods ifanyieni kazi pale kwenye homepage ya spotsi end intateiment! Tasavali, tasavali!