Top Ten Thread za mwaka 2011, kwa jinsi zilivyokugusa

Thread ya Shimbo kuiba trillion 3. Sijasikia tena juu ya ile habari.

zile ni za jamaa mmoja hivi, ni kwa ajili ya kuzitumia kwenye mchakato mzima wa kumsaka na kumkampenia mgombea uraisi amtakaye. Si unajua siku hizi haziivi kimtindo na mamvi?
 
Sred ya Shagikuku ya 'CCM Kirumba na gola'. Ilinikosha sana ingawa ukipost hairuhusiwi. Mods ifanyieni kazi pale kwenye homepage ya spotsi end intateiment! Tasavali, tasavali!
 
Au hii ya kikosi cha mizinga inayopigwa pigwa marfukuh!
Haikupata wachangiaji wengi hiyo! Kitu cha shimbo kilikuwa balaa! Halafu inv.ndiye alikuwa incharge. Ndani ya nusu saa sred ilikuwa na page 50
 
Yaaani hakuna hata mmoja kati yenu aliyeona ile Thread yangu iliyowagusa wengi!? Si ile ya naniliu! nyie wabaguzi tu LOL
 
Ya shimbo number moja -

ya" Muingereza" aliyo waingiza chaka na kuwafanya Pro CDM wa JF malimbukeni kuhusu maandamano DC iwe number 2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom