Multiple Myeloma
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 466
- 393
Km Wangesema Nitoe Rank Ya Ugumu Wa Comb 10 Kwa Mtazamo Wangu: 1.PCM 2.PCB 3.CBA 4.PGM 5.CBG 6.CBN 7.EGM 8.ECA 9.KLF 10.HGE.
duh! ila kihalisia katika combination nyepesi ni CBN hata kuliko egm sababu Food &human nutrition nyepesi mno na inaingiliana kidogo na bios yani kiufupi iko vizur hii combKm Wangesema Nitoe Rank Ya Ugumu Wa Comb 10 Kwa Mtazamo Wangu: 1.PCM 2.PCB 3.CBA 4.PGM 5.CBG 6.CBN 7.EGM 8.ECA 9.KLF 10.HGE.
kama ni B ya physics 2007 salute kwako ila kama ni ya 2011 utakuwa ulizinguaPhysics ilikuwa Ngumu Pamoja na kwamba nilipata B sema labda kwakuwa nilikuwa naipenda ila kiukweli Topic Ngumu ya Physics ni ROTATION na PROJECTILE maana unaeza soma ukajikuta umeelewa kafanye swali sasa uonee Balaa lakee..Nipo chuo sasaa ila Nakumbuka Roger A89 A91 na A92 ni maswali ya Hatari ya Rotation niliowahi Kuyasolve...Daah Nkikumbuka Huwa Nafurahi saaana! Kwa Maumivu!
sio tu kuwaridhisha wanafunzi pia kuwaridhisha wakaguzi pindi wanapokuja kukaguakumbe tichas huwa wanawaridhisha tu wanafunzi wao kwa kuwapa maxi nyingi
Hapana ni ya Karibuni tu [HASHTAG]#2016[/HASHTAG]kama ni B ya physics 2007 salute kwako ila kama ni ya 2011 utakuwa ulizingua
huyo mleta maada anaongelea physics nyepesi ya advance chuoni haifai kabisa mfano quantum mechanics utakutana na vitu vya ajabu mno kama solutions of schrodinger equation(humo kuna normalization,eugen functions,expectation values, probability radial wave functions of hydrogen and hydrogen like atoms) mtu wa PCB aliyesoma bam atalamba sakafu tuHivi mlioendelea huko vyuoni Physics Huwa inaendelea kutesa.Wengine ilitutesa tukaishia njiani