Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,222
- 44,197
je wajua kua sasa kuna top level domain takriban 22? Eg .com, .net, .org na domain za nchi takriban 250 eg, .tz, .in, .uk
kutokana na matumizi ya internet kuongezeka new domain style zaanzishwa itakua historia domai itakua ndo jina lako mfano .google .bbc .coke so itakua mfumo huu news.bbc na sio news.bbc.com au .forum itakua jamii.forum na sio tutumie jamiiforum.com
bei mpya ya hizi domain ndo mnhh mnhh eti dola 185,000 huhu zimeekwa hivi wenzangu na mimi wajasiriamali wa internet tanzania tusinunue
zitaanza tumika 12 january na kampuni inayotaka inapaswa iwe na timu inayoweza kushughulikia abuse 24/7 that mean wanataka waprotect hacker within company na sio internet
hii project inaandaliwa na iccan shirika linalohusika na haya masuala