Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,963
arrested in tz, could not be arrested in kenya...hahaha, tukiwaambia sisi watz noma wanatubishia, wakenya hawana lolote, kwanini wasimkamate wao hadi tuwakamatie sisi....nenda popote watakuambia kuwa tz security yake iko chini lakini intelligence yetu iko juu mno...mtu akifanya kosa lazima akamatwe hata afanye nini....na hapa tz kila mtu mzalendo na usalama wa taifa...
Umenena mkuu. Na kama ukiona suspect hakamatwi Tz jua kuna kitu kimeshatembea tu!!! Aminia Tanzania, police wanajua majambazi wote kila kanda na wauza na madalai wa unga but mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh patamu hapo!!!