Complicator JF-Expert Member Joined Aug 23, 2013 Posts 2,208 Reaction score 3,609 Jan 31, 2018 #1 1.jukwaa la sheria 2.jukwaa la uganda news 3.jukwaa la mapishi 4.jukwaa kimataifa 5.jukwaa la chitchat haya majukwaa hayana wachangiaji kabisa,hasa jukwaa la sheria. hii ni ishara kuwa watu wengi hatupendi kujifunza sheria...huko unaweza uliza kitu leo ukajibiwa baada ya siku 5. ongezeni top five ya majukwaa active.
1.jukwaa la sheria 2.jukwaa la uganda news 3.jukwaa la mapishi 4.jukwaa kimataifa 5.jukwaa la chitchat haya majukwaa hayana wachangiaji kabisa,hasa jukwaa la sheria. hii ni ishara kuwa watu wengi hatupendi kujifunza sheria...huko unaweza uliza kitu leo ukajibiwa baada ya siku 5. ongezeni top five ya majukwaa active.
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,903 Reaction score 27,427 Jan 31, 2018 #2 Sijui ulichokua unaangali au k7gezo ulichokuwa unatumia. Ila, kwa taarifa yako tu ni kwamba, Chit-Cjat ndiyo jukwaa lenye threads zilizofikisha idadi ya comments 60,000 up to 500,000 and counting.
Sijui ulichokua unaangali au k7gezo ulichokuwa unatumia. Ila, kwa taarifa yako tu ni kwamba, Chit-Cjat ndiyo jukwaa lenye threads zilizofikisha idadi ya comments 60,000 up to 500,000 and counting.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,981 Reaction score 1,252,293 Jan 31, 2018 #3 Jukwaa doro ni yale ya lugha ya huko kwa Trump