Habari zenu wakuu, nina blog ambayo ina subdomain ya blogspot, ningependa kuweka top domain ili niweze kuweka adsense. Tatizo sijui chochote kuhusu mambo yafwatayo na ningependa kujulishwa:
1.web hosting
2.Bandwidth
3.vitu vya kuzingatia ili kuweka top domain kwenye blogger
4.Nikishanunua domain, nitaweza kutumia dashboard ya blogger kupost na kufanya settings kama kawaida?
5. (Maelezo mengine kama yapo)
Shukrani wakuu
Vipi mkuu, kuna kitu kinaitwa bandwidth halafu inakuwa kama ni storage hivi in GB, vp hii ikiisha ndo huezi tena kupost kitu ama inakuajeKwa blogger web hosting na bandwidth visikusumbue sababu tayari Google ameshakupatia, wale wa WordPress ama website za aina nyengine ndio wanaangalia hivyo vitu sababu wananunua hosting hawapewi bure Kama wewe.
Unatakiwa ununue kwanza hio top domain then huko uliponunulia kunakuwa na maelezo namna ya kupark domain yako kwenye blog yako. Mifano ya website inayoweza kununua top level domain Ni Kama
Make Your Own Way | GoDaddy UK
All the help and tools you need to grow online: Websites, Domains, Digital and Social Marketing - plus GoDaddy Guides with you every step of the wayuk.godaddy.com Buy domain name - Cheap domain names from $1.37 - Namecheap
Namecheap offers cheap domain names with the most reliable service. Buy domain names with Namecheap and see why over 2 million customers trust us with over 10 million domains!www.namecheap.com
Na dashboard yako itabakia hakuna kitu kitakachobadilika kwenye blogger
Kuna storage na bandwidth,Vipi mkuu, kuna kitu kinaitwa bandwidth halafu inakuwa kama ni storage hivi in GB, vp hii ikiisha ndo huezi tena kupost kitu ama inakuaje
Nashukuru sana bro so unamaanisha kana natumia blogger nikishaweka top domain yangu sasa maswala ya bandwidth na storage inakuwa free kabisaKwa blogger web hosting na bandwidth visikusumbue sababu tayari Google ameshakupatia, wale wa WordPress ama website za aina nyengine ndio wanaangalia hivyo vitu sababu wananunua hosting hawapewi bure Kama wewe.
Unatakiwa ununue kwanza hio top domain then huko uliponunulia kunakuwa na maelezo namna ya kupark domain yako kwenye blog yako. Mifano ya website inayoweza kununua top level domain Ni Kama
Make Your Own Way | GoDaddy UK
All the help and tools you need to grow online: Websites, Domains, Digital and Social Marketing - plus GoDaddy Guides with you every step of the wayuk.godaddy.com Buy domain name - Cheap domain names from $1.37 - Namecheap
Namecheap offers cheap domain names with the most reliable service. Buy domain names with Namecheap and see why over 2 million customers trust us with over 10 million domains!www.namecheap.com
Na dashboard yako itabakia hakuna kitu kitakachobadilika kwenye blogger
Hata Kama huna top domain, blogger Ni nadra Sana kukulimit storage na bandwidth as long as haufanyi Mambo nje ya kanuni zao.Nashukuru sana bro so unamaanisha kana natumia blogger nikishaweka top domain yangu sasa maswala ya bandwidth na storage inakuwa free kabisa
Hata Kama huna top domain, blogger Ni nadra Sana kukulimit storage na bandwidth as long as haufanyi Mambo nje ya kanuni zao.
Kuna watu wakisikia tu vitu vya bure Basi anataka ku upload kila kitu na ku abuse service watu Kama Hawa huwa wanaishia kupigwa ban.
Wewe eka post zako za kawaida na pata traffic yako kihalali hata Kama watu milioni wanavisit page Google kwake Ni Kama unamtekenya tu, kwanza wanafurahi maana wao wapo duniani ku spy watu, jinsi wanavyopata data za watu wengi ndio jinsi watakavyoipenda blog yako.