Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Nimegundua una ushabiki wa kimahaba ktk vita ya USA unaweza ukazungumzia Iraq ambayo walidanganywa wateketeze silaha kali ndo wakaanza kushambuliwa,Libya ambayo ilishakuwa na machafuko ya ndani waka-Impose no fly zone?Kama ww unaamini izo ziko superior kwanini USA wamekalia kulialia dhidi ya IRAN,NORTH KOREA mbona zisitumike?Ni wapi USA waliwahi kupigana vita wakashinda in balanced poweer tangia ulimwengu huu kuumbwa?Iyo kwenye rangi ya bluu unatumia reference ya ndege dhaifu kwa minajili ya EXPORT tena ilotengenezwa na USA wenyewe wanajua udhaifu wake.Niambie siku itakapopita kando mwa MIG 31 au SU-35 nitaamini superiority.Kwa taarifa zako baada ya ujerumani kuungana plus other warsaw pact countries most of Russian machines zilichukuliwa kwa ajili ya research na USA/nato.Kuanzia huko Serbia, Iraq mpk Libya. Na kumbuka pia hzo sehem huko kote zilikua zilikua zikilindwa na makumi kwa mamia ya SAMs za Urusi.
U.S. F-22 stealth fighter pilot taunted Iranian F-4 Phantom combat planes
Km hao Iran wenyewe ndege yao ilikua jammed na F22,na pilot wake(Iran) alikua hajui km F22 ipo eneo hilo mpk pilot wa F22 alipomshtua kwamba dogo(pilot was Iran) aondoke aende kwao ndo Leo aweze kuishusha F22.
Hey kamoon amka bw mkubwa..iyo ni kuonesha kama rockets zao zimefika huko na kupeleka viumbe hai basi hata wao wanaweza kufika.Yaani wewe unataka kuniambia kama mmepanda basi mnaelekea morogoro aliyeshukia Chalinze amefanikiwa kuliko yule aendaye Moro?Kwani uyo wa Moro angeamua kushuka Chalinze si wangekuwa sawa maana amefika hapo pia hiyo ndo hoja yangu.Ila sii hoja ya kuonesha umahiri wa USA maana Russia wamewahi kufanya soft landing na hard landing pamoja na kupeleka viumbe tofauti na ndo wenye kuwapeleka USA in space nowadays hadi 2020.
Israel hawana kitu wako-controlled na USA kwenye productions ya silaha.Mmmhhhh......hamna ya Israel hata moja?
Nami naomba unitag mkuu au uniwekee link hapa samahani kwa usumbufuNimeshakuTag kwenye uzi wa B2 Mkuu.
Una uhakika? Mbna video znazoonesha ufake wa safari ya mwezini zmejaa sana unashindwaje kusoma ukaelewa mkuuHt mpk Leo hakuna nchi iliyowah peleka mtu mwezini zaid ya US.
Air wing hawana bomber,kuna out dated fighters tu akina Chengdu J7 na wenzake.Asante kwa ufafanuz mkuu ila unaweza kusaidia Top Ten Bombers which we have in Tanzania?
No easy money! Sema sijajua wanapata faida gani kwa kuwadanganya watuHalf ndo walivyo sijui kwann.
Ulivoandika kwamba urusi walitengeneza kitu kwa ajiri ya kuishambulia usa, kuna uhalali gani wa statement hiyoUchonganishi tena mkuu, nimefanyaje kwani?!