Top 7 bombers in the World



Naona jamaa kwa projects kama hizo wamegundua kuwa anga la mrusi ni sumu, they have now realized that the air superiority over Russia is absolutely a day dream.They've now invested deadly sums in projects that can turn impossible scenarios to at least _____________!!!

US$ 2,100,000,000 for just single warplane?!!
 
Ndo maana Russia walisema USA wanajidanganya kuwa hazionekani kwenye RADAR ilhali wao wanaziona..wakasema siku vita itakapotokea ndo itajulikana kama zinaonekana au la.katika kuthibitisha huwa zinaonekana kwa teknolojia ya Msoviet zimewahi kuangushwa vitani.
 
Mkuu tangu stealth warplanes zianze kufnya kazi ni moja tu ndo imewahi angushwa huko Serbia ambayo ni F117 na sababu ya kuangushwa inasemekana ni kuachwa waz kwa mda kidogo mlango wa kutolea mabomu.
Pia kumbuka huko Serbia hyo F117 flew more than 850 sorties lakin moja tu ndo ilifanikiwa kuangushwa. Toka hapo vita zote zilizofuata haijawahi angushwa hata Mara moja. F-117A: Allied Force Missions
 
Half mkuu jiulize kama hyo stealth technology haifany kaz kwanini huyo Urusi kawekeza mabilion ya fedha kwenye hyohyo tech ambayo wanadai kwamba haifany kaz?!. Na sio Russia tu, China, Iran,nk. Wote sasa hv wamewekeza mabilion ya dola huko kwenye stealth.
 
Mzee pengine kuna faida nyingine zaidi ya hiyo invisible.Pia unaweza ukawekeza kwa ajili ya research si lazima iwepo nia ya kutengeneza.Maana suala la invisibility hilo ni halipo.
 
Mzee pengine kuna faida nyingine zaidi ya hiyo invisible.Pia unaweza ukawekeza kwa ajili ya research si lazima iwepo nia ya kutengeneza.Maana suala la invisibility hilo ni halipo.
Kwani nani kakwambia kwamba stealth plane ni completely invisible?!
Na km suala la invisibility hakuna,je hyo F117 iliwezaje kupenya kwenye hzo anga undetected?!
 
Mzee pengine kuna faida nyingine zaidi ya hiyo invisible.Pia unaweza ukawekeza kwa ajili ya research si lazima iwepo nia ya kutengeneza.Maana suala la invisibility hilo ni halipo.
Hao warusi wako wenyewe toka miaka ya 2000 wanahangaika kutengeneza Stealth bomber Russia develops stealth bomber
Na hata sijui hyo project imeishiaje, hawajui kwamba haya makitu yanahitaj researches za mda mrefu.
 
Kulingana na facts izo apo chini ulichoandika ni kweli imeangushwa moja tu? Hata ingekuwa hivyo basi ni kwa ajili ya kuoperate kwenye vita na mataifa madogo kiteknolojia,pia kutokana na bei zake zinatumika mara chache sana kuepuka hasara pindi zikishambuliwa.
Je hiyo missile cock pit haitafunguliwa tena in future kwa ajili ya kurusha mabomu kama ndiyo haitaonekana tena?
Stealth is not—and never has been—invisibility, but it does offer greatly delayed detection so that a fighter or bomber and can engage a target and leave before the enemy has time to react. “Stealth is ‘delayed detection’ and that delay is getting shorter. SAM (Surface-to-Air Missile) radars are shifting their frequencies into lower frequency bands where U.S. stealth is less effective,” said Mark Gammon, Boeing’s F/A-18E/F and EA-18G program manager for advanced capabilities,[URL='https://news.usni.org/2014/04/21/stealth-vs-electronic-attack'] had told me some time ago. “Early warning radars are in the VHF spectrum where stealth has limited if any capability. These radars are networked into the SAM radars giving the SAM radars cued search[/URL]
North Korea downs stealth bomber | tomdemerly
 
Kwani nani kakwambia kwamba stealth plane ni completely invisible?!
Na km suala la invisibility hakuna,je hyo F117 iliwezaje kupenya kwenye hzo anga undetected?!
Ilipenya anga zipi ilipita Russia?Ilipita China?Nchi zote mbili izo bila kibali?Au labda ilipita North Korea au Iran?Sasa suala la undetected linatoka wapi?
 
Hao warusi wako wenyewe toka miaka ya 2000 wanahangaika kutengeneza Stealth bomber Russia develops stealth bomber
Na hata sijui hyo project imeishiaje, hawajui kwamba haya makitu yanahitaj researches za mda mrefu.
Hiyo ni wewe kwa uwezo na akili yako ya kufikiri sii lazima uwezo na muda utakaoutumia ndo mwenzio atakaotumia.Hata suala la first man in space halikuwahi kufanyika tangia dunia kuumbwa hadi walipofanya USSR ila baada ya hapo haukutumika muda mrefu kama huo wengine kufanya hayo na makubwa zaidi.
 
Ilipenya anga zipi ilipita Russia?Ilipita China?Nchi zote mbili izo bila kibali?Au labda ilipita North Korea au Iran?Sasa suala la undetected linatoka wapi?
Sasa mkuu Mount Kibo ulitaka US atume B2 iingie kwenye anga ya Urusi au Iran kwani wana vita gani?!
Half kumbuka Stealth sio complete invisible(elewa hilo kwanza) ila ni ngumu kuiDetect. Half kumbuka detection na weapons guidance onto the target ni vitu viwili tofaut. Kuna sehem humu mkuu izzo alishawahi kuelezea kwa kirefu sana kuhusu hyo mada na me pia nilishawahi. Kwamba unaweza ukaidetect mfano F22 raptor yaaan rada ikajua kwamba kuna ndege lkn inakua haina taarifa muhim kuhusu hyo target km ni fighter au bomber au drone, wala haijui mahali ilipo, umbali na hata speed ya hcho chombo hvyo inakua ni vigumu kuGuide a missile onto that target. Ndo likaja swala la kudevelop Extremely Very low frequency radars ila tatizo la hizi radars ni kwamba zina low resolution pia lack of accuracy hvyo inakua ni vigumu kuhit specific target.

Halfu kitu kingine kuhusu hiz rada usafirishaji wake ni mgumu(jaribu kugoogle 'Low Frequency radars' uone yalivyo makubwa) jambo linalozifanya ziwe rahisi kua attacked na adui.
Nyongeza; (kitaalam zaid)

Stealth fighters zimekua generally designed to counter targeting radars,nyingi ambazo zinaoperate kwenye J-band, au rada nyingine ambazo ni High frequency band. Radar hiz nyingi ni common kwenye ndege zenyewe pia kwenye SAM systems.
Sasa radar nying za zaman zinaoperate kwenye Much lower frequency bands -A or B. Sasa hiz Longer wave lengths radars zinaweza counter most stealth designs (F22,F35,F117).Kwahyo hzo radar za zaman kama vile A-band radar inaweza kudetect F35 kwa mfano. Lakini detection ni tofauti na Fire solutions. Hvyo inakua ni ngumu kuDirect kombora kudestroy hyo f35 kwa mfano. SIO KWAMBA HAIWEZEKANI, ILA NI NGUMU SANAAA.
Radar hz ni nzuri sana kwenye surveillance(mfano, ile Voronezh ya Urusi), but not precise targeting.
 
Ilipenya anga zipi ilipita Russia?Ilipita China?Nchi zote mbili izo bila kibali?Au labda ilipita North Korea au Iran?Sasa suala la undetected linatoka wapi?
Kuanzia huko Serbia, Iraq mpk Libya. Na kumbuka pia hzo sehem huko kote zilikua zilikua zikilindwa na makumi kwa mamia ya SAMs za Urusi.
U.S. F-22 stealth fighter pilot taunted Iranian F-4 Phantom combat planes
Km hao Iran wenyewe ndege yao ilikua jammed na F22,na pilot wake(Iran) alikua hajui km F22 ipo eneo hilo mpk pilot wa F22 alipomshtua kwamba dogo(pilot was Iran) aondoke aende kwao ndo Leo aweze kuishusha F22.
 
Tangu lini North Korea ikaishusha stealth bomber ya US?!
Kwanza kwa air defence gan waliyonayo?!
Au hyo S200 ambayo Israel amekua akizichezea kutwa kucha kule Syria?!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…