7. Mwigulu Nchemba
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

zotto kabwe umemsahau nini maana yule kijana ni jembe hakuna mfano.kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa tanzania.
- dr w. Slaa
- mh. F. Mbowe
- mh. John magufuli
- mh. Edward lowassa
- mh. Tindu lissu
nb; masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
Magufuli anafaa kupokea order na kuitekeleza. Ila yeye hafai kua rais! Muondoe.